Chief Kumbyambya
JF-Expert Member
- Jun 16, 2022
- 719
- 2,408
wanakuja mkuuYani kabla ya mwisho wa mwezi nakuwa na mipangi mingia sana ila ukifika tu huo mwisho wa mwezi hela inavyopukutika hata sielewi.
Mitungi jamani mitungi jamani mitungiiiiiiiiiiiii aaaaagh.
Nakukuta tu balance niliyobaku nayo inatia huruma hapo ndo akili zinarudi hela yote ila nimetumia hivyo?
Eti wazee ni nini hiki?
Yani kabla ya mwisho wa mwezi nakuwa na mipango mingi sana tena ya maana mnoo. ila ukifika tu huo mwisho wa mwezi hela inavyopukutika sasa, hata sielewi.
Mitungi jamani mitungi jamani mitungiiiiiiiiiiiii aaaaagh.
Nakukuta tu balance niliyobaku nayo inatia huruma hapo ndo akili zinarudi hela yote ila nimetumia hivyo?
Eti wazee ni nini hiki?
Fungua"fixed deposit account", kila mwisho wa mwezi weka huko kwanza kiasi unachotaka kutunza kabla mitungi haijatamalakiMitungi jamani mitungi jamani mitungiiiiiiiiiiiii aaaaagh.
🤣🤣🤣🤣Angalia kwenye kioo utamjua anayekuchezea.
Kwamba atajua yeye mwenyewe ndiye mchawi???Angalia kwenye kioo utamjua anayekuchezea.
Hapo ndio sijui sasa, anaweza kuangalia kwenye kioo akaona mgombaKwamba atajua yeye mwenyewe ndiye mchawi???
Fata huu ushauri mkuuAngalia kwenye kioo utamjua anayekuchezea.
Aisee nahisi hapa ndiyo Kuna shidaKama wewe ni hedonistic person- MTU unayeshindana na mwili ndo upate Furaha , hapo sio rahisi kubaki na PESA mkuu.
Mpaka uchukue hatua za kimakusudi kujikomboa maana hakuna wa kukukomboa .
Hii mitungi na mikasi ni kweli ila shida ninapotumia nakuwa kama sio mimi vile mpaka kiasi kibaki kidogo ndiyo akili unarudi kwamba hivi nimefanya nini sasa!!!!? Yani mzee acha tu.Biblia inasema "aonabyo mtu nafsini mwake ,ndiyo alivyo".
Kama unaamini unalogwa basi utaendelea kuamini hivyo na kuanza kuchukia watu. Watu kama nyie ni rahisi kuwa manipulated na wagamga wa mjini wazee wa fursa maana tayari "mmeshajihami" nafsini kuwa mnalogwa.
Achana na pombe, mkuu.
Pombe na mademu (mitungi na mikasi) vinamaliza sana Hela.
Hivi hii fexed deposite account mfano siku nimepata shida nataka kutoa inawezekana? Au ndiyo zile unasaini kwamba mpaka miaka mitatu au mitaono ipite ndiyo naweza kutoa!?Fungua"fixed deposit account", kila mwisho wa mwezi weka huko kwanza kiasi unachotaka kutunza kabla mitungi haijatamalaki