Wazee nahisi kuna mtu amenicheza, nikipata hela hazikai

Wazee nahisi kuna mtu amenicheza, nikipata hela hazikai

Ila unaweza ukatumia njia ya kuwaambia bank wawe wanakata hela asimilia Fulani then inayobaki ndo utumie kuendeshea MAISHA ya kila siku.

Mfano unapokea Million moja unaweza kuwaambia wakate laki 3 ambayo huwa Unaitumia kunywea pombe then ibaki laki Saba.

Naimani inawezekana.

Let mind rule and not body
Be happy but don't be hedonistic

Discipline is not a punishment but is the best way to avoid punishment.

Drink is OK but too much of anything is harmful. So keep self control
Unaenda unajaza fomu.... Ila Bado utakuwa na access ya kutoa ...nzuri ni ufungue akaunti ya fixed ama savings ambayo hautokuwa na access ya kutoa muda wowote kama hizi za deposit....
 
Back
Top Bottom