Wazee nahisi kuna mtu amenicheza, nikipata hela hazikai

Ukipata pesa mingi unakuta matumizi yamebadilika na kuwa makubwa sana na akili ya mtu mwingine kabisa, zinapokaribia kuisha akili inarudi pahala pake na unaanza kuishi kwa uhalisia unakuta hadi 10k unaitumia kwa siku.

Mambo ya bea haya.
Ebwana alafu ndiyo inakuaga hivyo hivyo mzee sijui ni nini huwa kinatokea. Kwa muda huo akili zinakuwa sio zako kabiiisaa.
 
Siku hizi watu wanakurogea kitu ambacho unakipenda ili ndugu zako wasijeshituka mapema, kama unapenda pombe utarogewa huko huko kwenye pombe wewe utakuwa ukipata tu hela yote unawaza kunywa pombe mpaka mzigo unakata na kama unapenda mademu yaani ile ukipata tu hata dasi wewe nikuwaza tu chini sasa kurogewa kupitia hii staili ni ngumu sana ndugu zako kuja kushituka
 
Yani kabla ya mwisho wa mwezi nakuwa na mipango mingi sana tena ya maana mnoo. ila ukifika tu huo mwisho wa mwezi hela inavyopukutika sasa, hata sielewi.

Mitungi jamani mitungi jamani mitungiiiiiiiiiiiii aaaaagh.

Nakukuta tu balance niliyobaku nayo inatia huruma hapo ndo akili zinarudi hela yote ila nimetumia hivyo?

Eti wazee ni nini hiki?

Sijaelewa:

1. Ukiziweka bank zinatokaje?
2. Ukiziweka kwenye safe inakuwaje?
3. Au ukizikalisha zinabiringita?

Fafanua,

#When you spend your money kwenye expenses zako, acheni mawazo ya kishirikina.

Mtu unalipwa 1.5m, una IST, kazini ni 24 Km return, service, kodi, chakula, school fee, hela ikae imekuwa maji?

Mnakosa financial education na nidhamu mnakimbilia kwenye kulogwa.
 
Pombe sio shida.

Shida ni unainywea wapi? Na nani?

Mie nikienda club basi kuna mpira naenda kuchek au naham na mziki siku hiyo na naenda na hela fixed kbs.

Shida inakuja ni moja.

Umalaya na ndio ki2 hujakitaja hapo ila mara nyingi pombe na umalaya ni pipa na mfuniko.
Mule mule ni pombe na mademu na kampani nakuwaga nayo ile mna toka alafu mnachanga kama mob ya watu 3 hivi alafu hapo kuna wale washkaji ambao hawana mchongo wa kueleweka ila wanaotea madili mara mojamoja sana.

Sasa unakuta siku hiyo mdau kaotea kama 30,000 hivi sasa sababu mara nyingi unampa bia zako, hiyo siku akipata kama hivi za kuotea nae anajishtukia anakushtua sasa mnapga vinywaji Kwa hiyo 30,000 yake ya mchongo.

Yake ikiisha unakuta kichwa bado hakijalewa sana na ndiyo tunasema ngoja kibunda kikitoka nitamshtua mbona yeye ana hela za kuotea ila ananishtua.

Hiyo siku kibunda kimetokea unamshtua mdauu huku ushapanga bajeti ila kinachitokea hapo sasa ndiyo yaleyaleeee.

Au niwe nakunywa mwenyewe naona kampani ndiyo za kipumbavu japo tunashea matumizi.
 
Siku hizi watu wanakurogea kitu ambacho unakipenda ili ndugu zako wasijeshituka mapema, kama unapenda pombe utarogewa huko huko kwenye pombe wewe utakuwa ukipata tu hela yote unawaza kunywa pombe mpaka mzigo unakata na kama unapenda mademu yaani ile ukipata tu hata dasi wewe nikuwaza tu chini sasa kurogewa kupitia hii staili ni ngumu sana ndugu zako kuja kushituka
Hii kitu nimewahi kusikia na hata mimi ni hivyo nikipata tu ni pombe na mademu wenye mizigo heavy kule nyuma
 
Yani kabla ya mwisho wa mwezi nakuwa na mipango mingi sana tena ya maana mnoo. ila ukifika tu huo mwisho wa mwezi hela inavyopukutika sasa, hata sielewi.

Mitungi jamani mitungi jamani mitungiiiiiiiiiiiii aaaaagh.

Nakukuta tu balance niliyobaku nayo inatia huruma hapo ndo akili zinarudi hela yote ila nimetumia hivyo?

Eti wazee ni nini hiki?
Jitambue! Mitungi nini? Kujiendeleza tu!
 
Siku hizi watu wanakurogea kitu ambacho unakipenda ili ndugu zako wasijeshituka mapema, kama unapenda pombe utarogewa huko huko kwenye pombe wewe utakuwa ukipata tu hela yote unawaza kunywa pombe mpaka mzigo unakata na kama unapenda mademu yaani ile ukipata tu hata dasi wewe nikuwaza tu chini sasa kurogewa kupitia hii staili ni ngumu sana ndugu zako kuja kushituka
Kuna DAS sijui RAS alikuwa anacheza kamari kupitiliza hadi waziri mkuu akamkanya laivu.
 
Yani kabla ya mwisho wa mwezi nakuwa na mipango mingi sana tena ya maana mnoo. ila ukifika tu huo mwisho wa mwezi hela inavyopukutika sasa, hata sielewi.

Mitungi jamani mitungi jamani mitungiiiiiiiiiiiii aaaaagh.

Nakukuta tu balance niliyobaku nayo inatia huruma hapo ndo akili zinarudi hela yote ila nimetumia hivyo?

Eti wazee ni nini hiki?

Kupanga ni kuchagua ,hakuna aliyekuchezea bali unajichezea mwenyewe kwa matumizi yasiyo na tija.
 
Yani kabla ya mwisho wa mwezi nakuwa na mipango mingi sana tena ya maana mnoo. ila ukifika tu huo mwisho wa mwezi hela inavyopukutika sasa, hata sielewi.

Mitungi jamani mitungi jamani mitungiiiiiiiiiiiii aaaaagh.

Nakukuta tu balance niliyobaku nayo inatia huruma hapo ndo akili zinarudi hela yote ila nimetumia hivyo?

Eti wazee ni nini hiki?
Yani hela umalizie kwenye pombe, alafu useme mtu anakuchezea?
 
Back
Top Bottom