African Geek
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 817
- 1,470
Hio hela ni sh ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo sijui sasa, ila atakayemuona ndio mhusika wakeAaaha kumbe Ila paka ni mmoja
mwehu ndama au??We ni mwehu 🤣🤣🤣🤣
Yani kabla ya mwisho wa mwezi nakuwa na mipango mingi sana tena ya maana mnoo. ila ukifika tu huo mwisho wa mwezi hela inavyopukutika sasa, hata sielewi.
Mitungi jamani mitungi jamani mitungiiiiiiiiiiiii aaaaagh.
Nakukuta tu balance niliyobaku nayo inatia huruma hapo ndo akili zinarudi hela yote ila nimetumia hivyo?
Eti wazee ni nini hiki?
Kwamba??🤣🤣Au anatupgia tu kelele apaMshahara wako unavuka tarakimu 7?
Hii kanuni nimeielewa imekaa fresh sanaDaahhh nmecheka sanaa ila syo mazuri,,
Mitungiii jamniii Mitungiiiiiiii mitungiiiii daahh
Sikia mkuu kikubwa anza kufanya kitu kinaitwa "PAY YOURSELF FIRST" Kila unapopata mshahara wako hyo ela unayojilipa hakikisha unaisave au kuinvest sehemu salama(walau 30% of your salary) then hyo nyngne hata ukipiga mitungiiiiiiii haina shda ila baada ya miaka 10 or 5 utakua sehemu salama
Ni noma sana mzee yani unakuwa kama umepigwa kiini macho hivi akili inakuja kakaa sawa balance inatia huruma mbaya mbovu.Sasa ndiyo nimeamini sipo pekeyangu, mwanzo nilidhani labda kuna shida mahali kumbe sivyo. Kumbe tupo wengi wenye hii shida 😂😂
Kaka hakuna mchawi hapo, kama yupo basi hata mimi kanipata?
"MTU UNAYESHINDANA NA MWILI ILI UPATE FURAHA" ivue nguo hii sentesi ili vipofu tupate kuuona uchi wakeKama wewe ni hedonistic person- MTU unayeshindana na mwili ndo upate Furaha , hapo sio rahisi kubaki na PESA mkuu.
Mpaka uchukue hatua za kimakusudi kujikomboa maana hakuna wa kukukomboa .
Hivi kiungo cha akili kinakaa wapi?Kiungo pekee ambacho mwanadamu akikikosa basi mwili mzima huteseka ni akili.
Hamna mtu amekucheza huna descplineYani kabla ya mwisho wa mwezi nakuwa na mipango mingi sana tena ya maana mnoo. ila ukifika tu huo mwisho wa mwezi hela inavyopukutika sasa, hata sielewi.
Mitungi jamani mitungi jamani mitungiiiiiiiiiiiii aaaaagh.
Nakukuta tu balance niliyobaku nayo inatia huruma hapo ndo akili zinarudi hela yote ila nimetumia hivyo?
Eti wazee ni nini hiki?