Wazee naombeni ushauri

Wazee naombeni ushauri

Endelea kupita nae mpka Mzee aje akulambe risasi mdogo wangu!!
 
Kama mume ana 72yrs, means huyo mamkubwa hawezi kosa 50s…. Na unamuita demu? Watu wa Dar mna shida gani?
Not necessarily mke awe kwenye late 40's or early 50's. Dame anaweza kuwa kwenye 30's. Ume sahau akina mzee Kauzeni na Said hapo Mwanalumango?
Kama mume ana 72yrs, means huyo mamkubwa hawezi kosa 50s…. Na unamuita demu? Watu wa Dar mna shida gani?
 
Back
Top Bottom