Wazee naombeni ushauri

Wazee naombeni ushauri

Not necessarily mke awe kwenye late 40's or early 50's. Dame anaweza kuwa kwenye 30's. Ume sahau akina mzee Kauzeni na Said hapo Mwanalumango?
Dem ako na 28 amezaliwa 1996
 
😀😀😀😀😀

Dogo cheka tu kama mazuri...

Gadhabu ya mtu kut.o.m.be.wa ni kubwa na ina hamaki ya juu kuliko ya mlevi ambae pombe yake imemwagwa. Chunga sana...

Huyo mzee nae pia alikuwa shababi na mwenye nguvu hapo kabla... Kitendo cha kujua unamgongea kisa yeye tayari Age Go ujue hatapenda... Kisasi chake hutakiweza.. 72yrs kashajichokea.. Hana cha kupoteza
 
Dem ako na 28 amezaliwa 1996
Wow. Huyo mzee wa 72 yrs anajitafutia kifo mwenyewe. Ndiyo akina Jocob Zuma, alimuoa Glolia Bongekile aliyekuwa ana miaka 24 yeye akiwa kwenye 70's. 2012
 
Kama ana pesa huyo mzee kaa mbali kabisa , utakuja kufanya kitu kibaya ujute
 
Kama mume ana 72yrs, means huyo mamkubwa hawezi kosa 50s…. Na unamuita demu? Watu wa Dar mna shida gani?
oya mbona unatujumuisha wote, Dar ina watu wengi.
 
Wazee mm kuna demu namkula ila ni mke wa mtuu lakini mumewe ni mzee wa 72 years sasa huyuu mazi ameniganda sanaa nifanyajee wakuuu
Mnzzyuu! Shenzi toka hapa. Nenda Kawaulize vijana wenzio wakushauri halafu na tena ww usubiri uone matokeo ya ligi uloianzisha. Wenzio wanakaa mbali na mali za wazee wewe unajitia kuwa kidume?
 
Hivi hawa mods huwa wanalipwa au wanajitolea bure? Maana naona thread ya hovyo inaendelea kuwepo hewani
Hii thread siyo ya hovyo. Mleta thread anaweza akawa ameibuni lakini inafaa kwa mafunzo katika uhalisia wa siku hizi kwani hayo mambo yapo na yanatokea mara kwa mara. Uzi huu utafaa sana kuwaonya esp. vijana wanaodhani wazee hawana cha kuwafanya hao vijana watukutu wanaoruka-ruka hovyo.
 
Endelea kumkula siku ukija pakwa wese hapo kwenye anus utaleta mrejesho.
 
Zinaa imekuzidi akili, huoni aibu kushea papuchi na babu yako??
 
Back
Top Bottom