Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 3,751
- 6,337
Mkuu,Sasa hii feature ukiblock no kule anayekupigia ataambiwa uko busy kila mara atajua ushampiga tofali... Hizo codes unazozibeza ndiyo zinafanya kazi kila angle, mfano mimi sitaki mtu ajue nimemblock ila akini pigia simu aambiwe sipo hewani (ila ki uhalisia nakua nipo hewani ila sitaki usumbufu tu) huwa naweka code hizi 21*07541251252# ila meseji zinanifikia, so akiniuliza kwanini nakupigia naambiwa hupatikani ila meseji zinafika? Hili swali nafikiri unaweza kujibu kirahisi tu na mtu akaelewa ila ukweli unakua unaujua ww mwenyewe...
Kimbembe eti uwashe hii feature umblock mtu kila akipiga aambiwe uko busy aaah hapo lazima ajue tu hata mtoto wa darasa la 7 alieanza kumiliki simu juzi atajua umemblock!
Hiyo namba inakuwa ya kwako au ni ya yule usiyetaka akupate?