Wazee tujuzane codes maana Kuna watu wanapiga sana simu

Mleta mada unachotaka ni hiki: piga -nyota, thelathini na tano, nyota,-sifuriX4, nyota, kumi na moja reli. hapo ataambiwa namba haipo, au imezuiliwa muda.

Wewe utapata missed call hiyo
mkuu nimejaribu hii lakini naona inazuia sms tu nikipigiwa napatikana
 
Mkuu Saiz unaset simu yako Tu akuna tena shida ya *### sjui madudu gani Simu hiz za sasa Mambo bul bul we nenda SEHEMU ya call hapo ata uki mblock mtu unafunga na namba mpya akupati akitumia namba ngeni akupati
Pia Una hamua Nani akupate Kwa kuwaweka VIP contact

Lakini akikutafuta we utaona juu ya kioo uki scrl down utaona flani kakucheki au kuna namba mpya ime kucheki.
Labda kama simu yako isiwe na huu uwezo ila matoleo ya sasa mengi yapo ivyo.
View attachment 2962645
Hii ni simu ya aina gani ina hivi vitu nisaidie tafadhali
 
Wasalaaaaaam........

Wataalam Kuna zile code ambazo ukiweka kwenye laini mtu akikupigia hakupati hewani ila Kwa mesej mnachati vizuri tu na unapata taarifa muda huo huo kuwa flani alikutafuta hewani hajakupata Kwa hiyo ni uamuz wako umpigie au laa.

Ila wewe ukimpigia unampata hewani ila akikupigia tu yeye hakupati hewani.

Na Kuna namna ya kuzitoa hizo codes yaani unaamua saizi niweke alafu muda wowote ukiamua unazitoa.

Nimewahi sikai hii kitu ila sijawahi kuprove. Najua humu kuna wataalam wanawezaelewa hii ishu......
Lioa madeni
 
Download app moja inaitwa "Should i answer" kule play store...then fuata maelekezo..
 
Vp kuhusu kudukua sms au call za simu nyingine? Tupeane maujanja wakuu
Kuhusu kudukua sms.

Ingia kwenye simu ya mtu husika unaetaka kumdukua then badili message system iwe ya google sms kupitia playstore

Baada ya kubadili...Kisha bonyeza alama iliyopo sehemu ya juu upande wa kulia sehemu ambayo utaona logo ya email

Baada ya kuingia kwenye hiyo logo ingia sehemu wameandika device pairing kisha itakuja sehemu ya kuscan

Hapo utakuwa umemaliza sehemu ya simu yake........

Nenda kwenye simu yako....ingia kwenye browser yoyote alafu search google message web itafunguka

Tumia ile simu ya kwanza kuscan code kutoka google message web...

Hapo utakuwa umemaliza na utaweza kusoma sms zake zote na vilevile unaweza kutuma na kupokea sms kwa mtu yeyote kupitia simu yake bila yy kujua

Angalizo:mchezo huu ni hatari kwa afya ya mwili na akili hivyo usijaribu kuufanya kwa mtu wako wa karibu umpendae.
 
Call forward to *********
Dah niliitwaga injinia nilivokua form 1 kwa ishu hizo
Eti IT😂😂😂
 
Kuhusu kudukua sms.

Ingia kwenye simu ya mtu husika unaetaka kumdukua then badili message system iwe ya google sms kupitia playstore

Baada ya kubadili...Kisha bonyeza alama iliyopo sehemu ya juu upande wa kulia sehemu ambayo utaona logo ya email

Baada ya kuingia kwenye hiyo logo ingia sehemu wameandika device pairing kisha itakuja sehemu ya kuscan

Hapo utakuwa umemaliza sehemu ya simu yake........

Nenda kwenye simu yako....ingia kwenye browser yoyote alafu search google message web itafunguka

Tumia ile simu ya kwanza kuscan code kutoka google message web...

Hapo utakuwa umemaliza na utaweza kusoma sms zake zote na vilevile unaweza kutuma na kupokea sms kwa mtu yeyote kupitia simu yake bila yy kujua

Angalizo:mchezo huu ni hatari kwa afya ya mwili na akili hivyo usijaribu kuufanya kwa mtu wako wa karibu umpendae.
Angalizo:mchezo huu ni hatari kwa afya ya mwili na akili hivyo usijaribu kuufanya kwa mtu wako wa karibu umpendae
 
Kuhusu kudukua sms.

Ingia kwenye simu ya mtu husika unaetaka kumdukua then badili message system iwe ya google sms kupitia playstore

Baada ya kubadili...Kisha bonyeza alama iliyopo sehemu ya juu upande wa kulia sehemu ambayo utaona logo ya email

Baada ya kuingia kwenye hiyo logo ingia sehemu wameandika device pairing kisha itakuja sehemu ya kuscan

Hapo utakuwa umemaliza sehemu ya simu yake........

Nenda kwenye simu yako....ingia kwenye browser yoyote alafu search google message web itafunguka

Tumia ile simu ya kwanza kuscan code kutoka google message web...

Hapo utakuwa umemaliza na utaweza kusoma sms zake zote na vilevile unaweza kutuma na kupokea sms kwa mtu yeyote kupitia simu yake bila yy kujua

Angalizo:mchezo huu ni hatari kwa afya ya mwili na akili hivyo usijaribu kuufanya kwa mtu wako wa karibu umpendae.
Mkuu noma sana nita test kwa simu zangu kwanza zijisome
 
Back
Top Bottom