Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Infinix na Tecno soukous π€£π€£π€£π€£Hizi ni simu za wazee wa kazi.
Hazimalizi chaji hovyo
January hata kama aweke mgao mwaka mzima ni kubofya tu kama tunapushi walevi.
Tecno mbona hazitunzi chaji?Infinix ni ndugu wa damu wa tecno na huawei.
Simu kama Radi mbaya utasema mche wasabuni ni mbaya Wala haina titleHizi ni simu za wazee wa kazi.
Hazimalizi chaji hovyo
January hata kama aweke mgao mwaka mzima ni kubofya tu kama tunapushi walevi.
Wew Inaonekana simu hizijui kabsa kumuweka Huawei kwenye upumbavu wakoInfinix ni ndugu wa damu wa tecno na huawei.
Huu uzi hautaki watu ambao wana stress za maisha. Upumbavu unatoka wapi sasa!Wew Inaonekana simu hizijui kabsa kumuweka Huawei kwenye upumbavu wako
Mwenye stress niwew HapoHuu uzi hautaki watu ambao wana stress za maisha. Upumbavu unatoka wapi sasa!
Tunaotumia Siemens C25 Twanga Pepeta mpyaaaaaaa, tuna comment wapi?Hizi ni simu za wazee wa kazi.
Hazimalizi chaji hovyo
January hata kama aweke mgao mwaka mzima ni kubofya tu kama tunapushi walevi.
Sasa mimi nina stress gani tena! Huu uzi wenyewe ni wa utani tu. Ila wewe unataka kuuwekea maanani, kisa unamiliki huawei!Mwenye stress niwew Hapo
infinix inakaa na chaji mwaka mzima unaambiwa na nyingine zinajichaji kabisa
Achana na hizo Infinix za kishamba. Toleo jipya la Infinix zinazalisha umeme na kuunganisha kwenye gridi ya taifa kabisa. Yaani weee acha chalii anguinfinix inakaa na chaji mwaka mzima unaambiwa na nyingine zinajichaji kabisa
Zina kaswendeTecno mbona hazitunzi chaji?
Ushawahi kutumia simu matata kabisa duniani, inaitwa Dompo?Simu kama Radi mbaya utasema mche wasabuni ni mbaya Wala haina title
Mkuu tangu asubuhi ngoma inasoma 70%Sasa mimi nina stress gani tena! Huu uzi wenyewe ni wa utani tu. Ila wewe unataka kuuwekea maanani, kisa unamiliki huawei!
ππππAchana na hizo Infinix za kishamba. Toleo jipya la Infinix zinazalisha umeme na kuunganisha kwenye gridi ya taifa kabisa. Yaani weee acha chalii angu
Mkuu tangu asubuhi ngoma inasoma 70%
[emoji23]Simu kama Radi mbaya utasema mche wasabuni ni mbaya Wala haina title
Ni kosa kubwa kumuweka Huawei kundi moja na hizo takatakaInfinix ni ndugu wa damu wa tecno na huawei.