Wazee tunaotumia Infinix tupeane likes kwa kugonga January na mgao wake hatusumbui kabisa

Wazee tunaotumia Infinix tupeane likes kwa kugonga January na mgao wake hatusumbui kabisa

Endelea kuuza kangala na Infinix yako pembeni ukiwa huna stress za kuchaji......
 
Infinix sasa nayo cm? Tunatumia bas tyuuh ili nasi tuwe hewani.

Hakuna cm hapa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Infinix sasa nayo cm? Tunatumia bas tyuuh ili nasi tuwe hewani.

Hakuna cm hapa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787] nimecheka.
 
Nunua kitu kulingana na uwezo wako, Infinix ni simu nzuri sana na tecno ni simu nzuri tu kulingana na uchumi wak😵ndoeni bla bla za sumsung hapa ,kuna watu hawatumii hizo simu na maisha yanaenda .

Usitake maisha ya ushindani hapa duniani ,ishi maisha yako,kama uwezo wako ni i phone basi nunua hiyo na kama ni tecno tumia hiyo.
 
Back
Top Bottom