Wazee tusiuze mechi mimi leo Nimeanza kutibu Gonorrhea

Nimeuza Mechi Kwa Kulumbembe La Sinza Wiki 2 Zilizopita Tena Nilichakata Sana Zaidi Ya Lisaa Nilinyunyuzia Wese La Kutosha,nashukuru Mungu Kaniepusha Na Gono Kuhusu HIV Nilichukua PEP Kwa Tahadhari,The Problem Karbia Kila Cku Nachelewa Kunywa Hata Masaa 5 Ila Cjawah Pitisha Cku Bila Kunywa Hofu Inazid Kuwa Kubwa Jinsi Navochelewesha Kunywa.Vijana Tumrudie Muumba Tunafanya Madhambi Makubwa Pia Mtaani Watu Wameoza.Muuda Wa Kutubia Ndo Huu
 
Hivi hiyo PEP unakunywa baada ya muda gani
 
Ni ngumu kutibu Gono kwa aina moja ya dawa
Nakushauri,ongeza dawa ya kidonge inayoitwa CEFIXIME 400mg Single dose(kunywa pamoja na azuma)
 
Kifo hakikosi sababu na "mipango ya mungu" sio moja ya sababu.
Kula mbususu kija ukimwi unakubalika kuwa moja ya sababu ya kifo.
Usipo kufa na ngoma utakufa na kisukari presha accident etc
 
Ukipona nitaj mkuu kuna shuga mumy anapiga miguu yote msafi tu

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Dawa sahihi ya kutibu huu ugonjwa wa kujitakia ni kulala tena na huyu demu bila kinga. Una ushamba sana kama wa Haji Manara dogo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…