Mpetde
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 3,955
- 6,546
Ulipiga kavu alafu ulitumia wese alafu ukapita milango yote utajibu nini kesho 🤪Hatar sana mimi pia nna week mbili toka nipone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulipiga kavu alafu ulitumia wese alafu ukapita milango yote utajibu nini kesho 🤪Hatar sana mimi pia nna week mbili toka nipone
Hivi hiyo PEP unakunywa baada ya muda ganiNimeuza Mechi Kwa Kulumbembe La Sinza Wiki 2 Zilizopita Tena Nilichakata Sana Zaidi Ya Lisaa Nilinyunyuzia Wese La Kutosha,nashukuru Mungu Kaniepusha Na Gono Kuhusu HIV Nilichukua PEP Kwa Tahadhari,The Problem Karbia Kila Cku Nachelewa Kunywa Hata Masaa 5 Ila Cjawah Pitisha Cku Bila Kunywa Hofu Inazid Kuwa Kubwa Jinsi Navochelewesha Kunywa.Vijana Tumrudie Muumba Tunafanya Madhambi Makubwa Pia Mtaani Watu Wameoza.Muuda Wa Kutubia Ndo Huu
Sure. Zile ukimaliza dozi ya siku 3 tayariiiZile sindano ndio sahihi ila maumivu yake Sasa.
Nilipima damu na mkojo akaniambia kote niko salama shida ni kwenye mkojo gonorrhea.Upime Hepatitis B pia.
Ni ngumu kutibu Gono kwa aina moja ya dawaMwisho mwa wiki iliyopita nilipatana na huyu dada ambaye baadae nilikuja kugundua ni mke wa mtu sasa wakati tumekutana nilibeba zana na nilitumia kwenye bao la kwanza baadaye aliniambia nikanunue mafuta ili nipige nyama kwa nyama kuepuka michubuano bila ubishi nilinunua wese na ndio ulikuwa mwanzo wa mwisho kutumia kinga huu ni udhaifu na ujinga niliofanya kimsingi milango yote niliingia tena peku.
Siku ya leo baada ya kuvua boxer na kuona ina alama ya uchafu ulioganda nikashtuka nikajaribu kujibinya uume naona uchafu wa maziwa unatoka ikabidi nifanye maamuzi ya kwenda dispensary kupima majibu ni kuwa nina gonorrhea ikabidi haraka niulize wajuzi wa mambo ipi dawa sahihi ya kutibu hii changomoto wakaniambia Azuma nishaanza dozi.
Gonorrhea naweza kupona vipi kuhusu ukimwi sina wa kumlaumu zaidi ya nafsi yangu na tamaa zangu za mwili aliyeniambukiza nishampa taarifa yupo kimya kama hakijatokea kitu.
Wazee magonjwa ya zinaa bado yapo usipime kwa macho chukua tahadhari.
Kifo hakikosi sababu na "mipango ya mungu" sio moja ya sababu.Mwisho mwa wiki iliyopita nilipatana na huyu dada ambaye baadae nilikuja kugundua ni mke wa mtu sasa wakati tumekutana nilibeba zana na nilitumia kwenye bao la kwanza baadaye aliniambia nikanunue mafuta ili nipige nyama kwa nyama kuepuka michubuano bila ubishi nilinunua wese na ndio ulikuwa mwanzo wa mwisho kutumia kinga huu ni udhaifu na ujinga niliofanya kimsingi milango yote niliingia tena peku.
Siku ya leo baada ya kuvua boxer na kuona ina alama ya uchafu ulioganda nikashtuka nikajaribu kujibinya uume naona uchafu wa maziwa unatoka ikabidi nifanye maamuzi ya kwenda dispensary kupima majibu ni kuwa nina gonorrhea ikabidi haraka niulize wajuzi wa mambo ipi dawa sahihi ya kutibu hii changomoto wakaniambia Azuma nishaanza dozi.
Gonorrhea naweza kupona vipi kuhusu ukimwi sina wa kumlaumu zaidi ya nafsi yangu na tamaa zangu za mwili aliyeniambukiza nishampa taarifa yupo kimya kama hakijatokea kitu.
Wazee magonjwa ya zinaa bado yapo usipime kwa macho chukua tahadhari.
hizo sindano zinaitwaje?, weka hapa kwa elimu kwa wote.Zile sindano ndio sahihi ila maumivu yake Sasa.
Kwa hiyo na wewe kumbe tayari?Zile sindano ndio sahihi ila maumivu yake Sasa.
Kataa NDOAMilango yote iliingiliwa
Kataa ndoa wanahoja za msingi sana
Kataa NDOAKaka last month nimekutana na demu uchi msafi na huna harufu guess nimetoka na gono tena mke wa mtu.
Kataa NDOANa wote tuseme, “Bwana ametoa, Bwana ametwaa.” Jina lake lihimidiwe [emoji120]
Ukipona nitaj mkuu kuna shuga mumy anapiga miguu yote msafi tuMwisho mwa wiki iliyopita nilipatana na huyu dada ambaye baadae nilikuja kugundua ni mke wa mtu sasa wakati tumekutana nilibeba zana na nilitumia kwenye bao la kwanza baadaye aliniambia nikanunue mafuta ili nipige nyama kwa nyama kuepuka michubuano bila ubishi nilinunua wese na ndio ulikuwa mwanzo wa mwisho kutumia kinga huu ni udhaifu na ujinga niliofanya kimsingi milango yote niliingia tena peku.
Siku ya leo baada ya kuvua boxer na kuona ina alama ya uchafu ulioganda nikashtuka nikajaribu kujibinya uume naona uchafu wa maziwa unatoka ikabidi nifanye maamuzi ya kwenda dispensary kupima majibu ni kuwa nina gonorrhea ikabidi haraka niulize wajuzi wa mambo ipi dawa sahihi ya kutibu hii changomoto wakaniambia Azuma nishaanza dozi.
Gonorrhea naweza kupona vipi kuhusu ukimwi sina wa kumlaumu zaidi ya nafsi yangu na tamaa zangu za mwili aliyeniambukiza nishampa taarifa yupo kimya kama hakijatokea kitu.
Wazee magonjwa ya zinaa bado yapo usipime kwa macho chukua tahadhari.
Msimu wa Mvua na baridiAisee Kuna Nini mwezi huu,
Vijana wengi nnaowajua wameugua gono[emoji848]
Halafu sikuhizi inaongelewa kikawaida tuMilango yote iliingiliwa
Kataa ndoa wanahoja za msingi sana
Dawa sahihi ya kutibu huu ugonjwa wa kujitakia ni kulala tena na huyu demu bila kinga. Una ushamba sana kama wa Haji Manara dogo!Mwisho mwa wiki iliyopita nilipatana na huyu dada ambaye baadae nilikuja kugundua ni mke wa mtu sasa wakati tumekutana nilibeba zana na nilitumia kwenye bao la kwanza baadaye aliniambia nikanunue mafuta ili nipige nyama kwa nyama kuepuka michubuano bila ubishi nilinunua wese na ndio ulikuwa mwanzo wa mwisho kutumia kinga huu ni udhaifu na ujinga niliofanya kimsingi milango yote niliingia tena peku.
Siku ya leo baada ya kuvua boxer na kuona ina alama ya uchafu ulioganda nikashtuka nikajaribu kujibinya uume naona uchafu wa maziwa unatoka ikabidi nifanye maamuzi ya kwenda dispensary kupima majibu ni kuwa nina gonorrhea ikabidi haraka niulize wajuzi wa mambo ipi dawa sahihi ya kutibu hii changomoto wakaniambia Azuma nishaanza dozi.
Gonorrhea naweza kupona vipi kuhusu ukimwi sina wa kumlaumu zaidi ya nafsi yangu na tamaa zangu za mwili aliyeniambukiza nishampa taarifa yupo kimya kama hakijatokea kitu.
Wazee magonjwa ya zinaa bado yapo usipime kwa macho chukua tahadhari.
Azuma sio aina moja ya dawaNi ngumu kutibu Gono kwa aina moja ya dawa
Nakushauri,ongeza dawa ya kidonge inayoitwa CEFIXIME 400mg Single dose(kunywa pamoja na azuma)