Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,431
- 13,876
Virus vinaonekana kwa macho.. trust me.Na mwenye Virusi vya ukimwi nae uke wake unatoa hsrufu?.Vijana tuache kubeti afya zetu.Majuto ni mjukuu.MTAJI WA KWANZA NI AFYA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Virus vinaonekana kwa macho.. trust me.Na mwenye Virusi vya ukimwi nae uke wake unatoa hsrufu?.Vijana tuache kubeti afya zetu.Majuto ni mjukuu.MTAJI WA KWANZA NI AFYA
Nipe elimu mkuu.Unajuaje kwa kumuangalia?Virus vinaonekana kwa macho.. trust me.
Aisee sahivi nishawaka em ngj kesho ntakurudia.Nipe elimu mkuu.Unajuaje kwa kumuangalia?
Na mwenye Virusi vya ukimwi nae uke wake unatoa hsrufu?.Vijana tuache kubeti afya zetu.Majuto ni mjukuu.MTAJI WA KWANZA NI AFYA
Wengi naona wanachukulia poa,ghono likipona,linaacha makovu kwenye urethra,mwisho wa siku inasemekana kovu husika hutuna,hivyo kuziba njia ya mkojo,ndo ile unakuta mtu kalazwa urology na mpira wa mkojo.Tuwe makini aisee....!Unaijua Urethral Stricture wewe?? Yani ukiugua Gonorrhea baada ya 20yrs tutakuona kwenye kliniki za urology ukizibuliwa njia ya mkojo. Wengi hawajui permanent damage inayoletwa na Gono
Hata huyo mke aliyegongwa na mleta mada,ukute mumewe anasema hivyohivyo kua 'ndomaana nimeamua nitulie na mke wangu tu',kimbe hajui behind the scene mke anapigwa SWASH na BACK WASH,na ana gonorhea.Ndoa ni changamoto sana,mume anakua mwaminifu,mke anakua kicheche,mke anakua mwaminifu,mume anakua kicheche,yaani ni hatari kwelikweli.Mimi kitu kitakachonifanya nitulie na mke wangu ni hizo sindano jamani. Naogopa sindano vibaya mnoo!! Yani sindano hata nikiiona kwenye picha nasisimka mwili mzima. 💉 Hivi hakuna dawa nyingine za hayo magonjwa zaidi ya masindano 🙄
Huku mtaani ni burudani.Kelele zimepunguaAisee sahivi nishawaka em ngj kesho ntakurudia.
Hivi unajua utopolo kala rungu 3 leo
Kabla ya masaa 72 kupita baada ya tendo,Hivi hiyo PEP unakunywa baada ya muda gani
Nimefurahi sana Mpk sauti imekauka.Huku mtaani ni burudani.Kelele zimepungua
HIV nayo inaharufu ? Unaipimaje ?Mwanamke mwenye ion yoyote ile kuna harufu ambayo si ya kawaida utaifeel..
Sie wengine kabla ya kutumbukiza hazina yetu huwa tunaingiza kidole na kukinusa kwa kuzuga.. tunapata approval ya kuingia au kutoingia.
Kwa Macho (Mpk uwe mtaalam sana)HIV nayo inaharufu ? Unaipimaje ?
Mwanamke mwenye infection yoyote ile kuna harufu ambayo si ya kawaida utaifeel..
Sie wengine kabla ya kutumbukiza hazina yetu huwa tunaingiza kidole na kukinusa kwa kuzuga.. tunapata approval ya kuingia au kutoingia.
Waache waangamie kwa kukosa Ilmu/Elimu.😁 tupo pamoja mkuu wazee wa kupima oil,mm nlishasema hii njia inafanya kazi ila Kuna wakulungwa walibisha
Mlango wa nyuma kuingia peku ndo kisanga kimeanzia hapo usirudie
Gono la nyuma usishangae hata azuma zikadunda
Hainaga ushemeji tunakula 😂😂😂😂 kirikou mjinga sana
Kasema alipaka vizuri mafuta kuondoa friction, uwezekano wa kuukwaa moto ni mdogo sanaGono inaonekana baada ya siku tatu, eti umepima una gono ila UKIMWI hauna! Hapo bado haujapima UKIMWI umeiifariji tu!
Nakuhakikishia, utakaporudi kupima UKIMWI baada ya wiki tatu, hautakiwa na amani wakati wa kusubiri majibu, na unaweza usiende kupima kwa hofu uliyonanyo!