Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Mahakama kuu hakuna mahakimu, wewe ni mbumbumbu wa sheria.Mwenye uamuzi wa Mwisho ni Hakimu
Mahakama ikimtia Hatiani anakwenda JELA miaka mi4 Kama sikosei
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mahakama kuu hakuna mahakimu, wewe ni mbumbumbu wa sheria.Mwenye uamuzi wa Mwisho ni Hakimu
Mahakama ikimtia Hatiani anakwenda JELA miaka mi4 Kama sikosei
Yuko mahakamani anachat,anafanya photo shoot, daahhh hapana kwa kweliNi kweli kabisa, alitakiwa awe kama mtu aliyesingiziwa asisikilize maneno ya mawakili, alitakiwa aende pale amesuka twende kilioni. Ni wazo nililokuwa nalo tangu zile picha zilipoanza kumiminika mitandaoni
Kwa nini waliwekwa kama hawana influence?acha dharauHao ni Lay Assessors, hakuna uzito wowote wakiwa kwenye court of records ama RMC....nguvu yao IPO Makahama ya Mwanzo huku juu ni vibwengo kama vibwengo wengine
Alikuwa na uhakika as Majizzo alishamuhonga wakili wa serikali.Yuko mahakamani anachat,anafanya photo shoot, daahhh hapana kwa kweli
Daah!yaani hata kwa akili ya primary unajua hapa kuna namna si buree yaani busy kabisa na simuAlikuwa na uhakika as Majizzo alishamuhonga wakili wa serikali.
Kula likeBinafsi sikuona kama kuna ushaidi wa kutosha uliotolewa kuweza kumtia hatiani Elizabeth kwa kosa la mauwaji ya bila kukusudia. Bado naamini ataachwa huru tu.
Wazembe wazembeee,hamsomi tuneshajibu hili swali mara kibao,penal code kifungu 198 inataja kifungo cha maisha lakini kuna mazingira hutumika kupunguza makari tunaita mitigation factors,ikitokea mtuhumiwa kajitetea ba mzingira yako wazi kama vile,umri,ugomvi,nani alichokoza mwenzake,tabia ya marehemu,mtuhumia ndo mara ya kwanza au hakimu akaona huruma,adhabu hupungua .Katika kesi ya Daud Sabaya,alihukumiwa mahakama kuu kwamba aliua kwa kukusudia wakampiga adhabu ya kifo,alipokata rufaa ikagundulika aliua bila kukusudia due to self defense,alipigwa miaka mitano tuu maana alikuwa amekaa ndani kama miaka mitatu hivi.Mwenye ujuzi wa sheria kuua bila kukusudia hukum yake ni nini?
Hakuna mwanasheria anayeshindwa hata kuandika jina na hajui jina linaanza na herufi kubwa.Wanasheria hatu comment kwa yaliyo mahakamani subiri hukumu itoke ndo kazi yetu itaanza
Hiyo ni traffic case inashughulikiwa na Primary court kwa hakimu.Waungwana
Mmesahau ya Mtemi Chenge
Aliua wanawake wawili kama sikosei kwa kuwagonga na gari
Alitiwa hatiani kuua bila kukusudia
Alipewa adhabu ya faini Laki 7
The rest is history
Leo anaendelea kuwa Mbunge na Mwenyekiti wa Bunge
Pia ndio Mwandishi wa Katiba Pendekezwa iliyopitishwa na Bunge la Katiba
Ni sahihiHiyo ni traffic case inashughulikiwa na Primary court kwa hakimu.
Utaratibu hauko hivyo, ila kinachonishangaza ni kwa nini Lulu hajapelekwa jela ili hukumu isomwe akitokea jela? Unakumbuka kesi ya Dr Murray wa Michael Jackson alikuwa nje kwa dhamana ila siku mahakama ilipomtia hatiani alipigwa pingu na kupelekwa jela kusubili tarehe ya hukumu.Kwanini wasingetoa hukumu leo ,,wanachelewesha nini
Kuna mzee wangu mmoja alikuwa mzee wa baraza kwenye kesi ya Zombe kwa sasa ni marehemu, ni magumashi matupu, hao wazee waliwadharau hawajanusisha pesa, ni kitu kisichowezekana wote wawe na msimamo mmoja, na hakuna mwanasheria katika hao.Hao wazee wa mahakama wamesoma?wanachaguliwaje mwenye kuelewa anieleweshe
Sawa nimekuelewaUtaratibu hauko hivyo, ila kinachonishangaza ni kwa nini Lulu hajapelekwa jela ili hukumu isomwe akitokea jela? Unakumbuka kesi ya Dr Murray wa Michael Jackson alikuwa nje kwa dhamana ila siku mahakama ilipomtia hatiani alipigwa pingu na kupelekwa jela kusubili tarehe ya hukumu.
Kama Lulu ameachwa uraiani anao uhuru wa kuruka dhamana na kuikimbia hukumu. Kuna tatizo kwenye mfumo wetu wa mahakama.
Ila msimamo wangu tangu day one mpaka leo haujabadirika Kanumba alikuwa mbakaji tu.
Kuna mzee wangu mmoja alikuwa mzee wa baraza kwenye kesi ya Zombe kwa sasa ni marehemu, ni magumashi matupu, hao wazee waliwadharau hawajanusisha pesa, ni kitu kisichowezekana wote wawe na msimamo mmoja, na hakuna mwanasheria katika hao.
Nazishauri mamlaka husika ni wakati muhafaka sasa kwa kazi hii kupewa mahakimu wastaafu, majaji wastaafu, Madpp wastaafu, na wanasheria waliostaafu kupractice law.
Hawa wazee wengi wao wakati kesi inaendelea huwa wamelala kama Wasira bungeni.
Inaonekana una upeo mzuri wa kisheria, je unaweza kunisaidia ni kwa nini kesi ya Lulu haijaendeshwa kwenye Juvenile court hasa ukizingatia alikamatwa akiwa under 18 years old?Wazembe wazembeee,hamsomi tuneshajibu hili swali mara kibao,penal code kifungu 198 inataja kifungo cha maisha lakini kuna mazingira hutumika kupunguza makari tunaita mitigation factors,ikitokea mtuhumiwa kajitetea ba mzingira yako wazi kama vile,umri,ugomvi,nani alichokoza mwenzake,tabia ya marehemu,mtuhumia ndo mara ya kwanza au hakimu akaona huruma,adhabu hupungua .Katika kesi ya Daud Sabaya,alihukumiwa mahakama kuu kwamba aliua kwa kukusudia wakampiga adhabu ya kifo,alipokata rufaa ikagundulika aliua bila kukusudia due to self defense,alipigwa miaka mitano tuu maana alikuwa amekaa ndani kama miaka mitatu hivi.