Wazee wa baraza wasema 'Lulu' ameua bila kukusudia, Jaji kutoa hukumu Novemba 13

Kitakachomgharimu huyu binti ni kutokusema ukweli. Kwa nini Kibatala amemfindisha mteja wake kusema uongo mahakamani? Kwa wenye kumbukumbu nziri na hili tukio. Mimi nakumbuka kipindi hicho huyu binti alisema Kanumba aliteleza wakati anamkimbiza, sasa mahakamani akasema mambo hata kwa akili ya mlevi naye hawezi kukubali. "Alinisukumiza kitandani na kuanza kunipiga kwa panga kwenye mapaja. Niliziba uso ili asiniumize usoni. Kanumba wakati ananipiga alikuwa akilalamika...sauri yake ilikuwa kama ya mtu aliyekabwa. Nilisikia panga likidondoka chini...Kanumba alidondoka chini na kujigonga. Alikuwa akitapatapa na akijigonga tena. Nilikimbilia chooni, nikapiga kelele kuomba msaada".
Msaada huwa unaombwa chooni kweli? Hata mimi ningekuwa mzee wa baraza nisingekubali. Lazima ningehisi kuna kitu unakificha. Aliyemfundisha haya maelezo ni mwehu. Kuna loop holes nyingi katika hayo maelezo ambayo yanaweza kumpa mtu yeyote mashaka.

Maelezo ya Mshumbushi nayo ni ugolo mtupu. Kutoa maelezo ambayo yanalenga kuonesha kuwa Kanumba alikuwa na matatizo makubwa ya kiafya hasa ya Moyo mpaka kusababisha kuwa na upungufu wa hewa kwenye ubongo nao ni wendawazimu. Wakili wa Lulu anataka kuionesha mahakama kuwa Kanumba alianguka na kupoteza maisha kutokana na magonjwa yaliyosemwa na Mshumbushi!

Ni bora defence wangeiweka kuwa; Kanumba aliteleza wakati wa purukushani za kumpiga Lulu ingeweza kumsaidia, kwa sababu report ya postmortem ilisema Kanumba alipatwa na brain concussion. Tatizo la brain concussion ni kwa ubongo hushuka na kuuziba ugwemgongo baada ya kugonga kichwa hasa sehemu ya kisogo kwa nguvu, kitendo ambacho husababisha ubongo kukosa hewa ya oksijeni. Sasa hapo defence ingekuwa ni kutafuta njinsi gani Lulu hakuhusika na kugonga kisogo chini kulikotokea.

Daah! Balaa likupidhie mbali, unaweza pata adhabu kwa kosa ambalo siyo lako au ni lako kwa namna moja ama nyingine. Ukweli mnaujua nyie wawili, lakini mwenzio hayupo tena. Huenda angekuwepo, angekutetea kuwa hauna kosa katika hilo. Ogopa kesi ya kichwa, ni hatari sana.
hongera mkuu,hii kesi Lulu ajiandae tu,hakuna namna hapo,kuna makosa mengi mno ya kiufundi wameyafanya hao akina lulu na mawakili wao
 
Hivi nn maana ya kuwa na "wakili nguli" kama huyo wakati mteja wako anahaha kujitetea mwenyewe mahakamani? Mtoto wa watu maskini hajui hata aseme nini
Kazi ya Wakili ni kumsaidia Jato.. Austin Hakimu kutafsiri Sheria ili Haki itendeke
so Wakili hana uamuzi wa Mwisho hata Kama atapambana vipi
Ila kesi Kama hizi wengi wanatokeaga kwenye Rufaa lkn JELA lazima uende
 
huyo mshumbusi mwenyewe hana tofauti na Maji marefu.ni mganga wa kienyeji..nimeshangaa sana imekuwaje Ushahidi wa hovyo vile ukapokelewa
Sielewi ni kwa nini Kibatala aliamua kuipeleka hivyo hii kesi!
 
Nkanini MAZINGIRA YA KIFO AMEYAELEZEA MWENYEWE LULU, KWA HIYO MAELEZO YAKE NDIYO YALIYOBADILI MWENENDO KUTOKA KUUA KWA KUKUSUDIA KWENDA KUUA KWA KUTOKUSUDIA.

NAAMINI WAZEE WAMEMSHANGAA KWAMBA ILIKUWAJE MPAKA KANUMBA BAADA YA KUANGUKA NA KUZIMA, WAKATI SETHI ANAFANYA MPANGO WA KUMPELEKA HOSP YEYE (LULU) AKAWA NA MOOD YA KUDRIVE KWENDA COCO BEACH KULA UPEPO WAKAT MPENZ WAKE HATIMA YAKE HAIJULIKAN? TUKISEMA ALIJUA KINACHOENDELEA TUNAKOSEA?
..
Hapa ndipo kesi ilipo
 
Again ,maadam tunaishi kwenye nchi ya kusadikika hata maamuzi yake yatakuwa hivyo,kwa ushahidi gani uliotolewa mahakamani ?hakuna ripoti ya doctor?hakuna foresinc report kuhusiana na kesi hii,hakuna ripoti inayotuambia Kanumba alikufa kwa sababu zipi;na elewa ni muhimu jaji ajiridhie bila shaka kuwa mtuhumiwa aliuwa;ndio tatizo za mahakama zetu nazo kuendeshwa kimihemko.

Report ya uchunguzi wa mwili wa Marehemu ilisema amekufa kwasababu ya Brain Concussion.
 
Wanasheria nisaidieni, kwa mfano familia ya kanumba ingeamua kusema kuwa wao wanamuachia Mungu au kwa sabbu yoyte ile hawana haja ya kuendelea na kesi na wanapeleka ombi la kuifuta kesi kama walifungua wao, na wasingeshiriki ktk kutoa ushahidi wwte ule je Jamhuri ktk mazingira kama hayo hiyo kesi proceedings zake zikoje.

Si mwanansheria mimi,lakini kwa uelewa wangu mdogo, Familia ya Kanumba haiwezi kufanya chochote ,hapa ni Jamuhuri ndio mlalamikaji na siyo familia ya Marehemu.Wanasheria wataliweka hili vizuri zaidi
 
Kitakachomgharimu huyu binti ni kutokusema ukweli. Kwa nini Kibatala amemfindisha mteja wake kusema uongo mahakamani? Kwa wenye kumbukumbu nziri na hili tukio. Mimi nakumbuka kipindi hicho huyu binti alisema Kanumba aliteleza wakati anamkimbiza, sasa mahakamani akasema mambo hata kwa akili ya mlevi naye hawezi kukubali. "Alinisukumiza kitandani na kuanza kunipiga kwa panga kwenye mapaja. Niliziba uso ili asiniumize usoni. Kanumba wakati ananipiga alikuwa akilalamika...sauri yake ilikuwa kama ya mtu aliyekabwa. Nilisikia panga likidondoka chini...Kanumba alidondoka chini na kujigonga. Alikuwa akitapatapa na akijigonga tena. Nilikimbilia chooni, nikapiga kelele kuomba msaada".
Msaada huwa unaombwa chooni kweli? Hata mimi ningekuwa mzee wa baraza nisingekubali. Lazima ningehisi kuna kitu unakificha. Aliyemfundisha haya maelezo ni mwehu. Kuna loop holes nyingi katika hayo maelezo ambayo yanaweza kumpa mtu yeyote mashaka.

Maelezo ya Mshumbushi nayo ni ugolo mtupu. Kutoa maelezo ambayo yanalenga kuonesha kuwa Kanumba alikuwa na matatizo makubwa ya kiafya hasa ya Moyo mpaka kusababisha kuwa na upungufu wa hewa kwenye ubongo nao ni wendawazimu. Wakili wa Lulu anataka kuionesha mahakama kuwa Kanumba alianguka na kupoteza maisha kutokana na magonjwa yaliyosemwa na Mshumbushi!

Ni bora defence wangeiweka kuwa; Kanumba aliteleza wakati wa purukushani za kumpiga Lulu ingeweza kumsaidia, kwa sababu report ya postmortem ilisema Kanumba alipatwa na brain concussion. Tatizo la brain concussion ni kwa ubongo hushuka na kuuziba ugwemgongo baada ya kugonga kichwa hasa sehemu ya kisogo kwa nguvu, kitendo ambacho husababisha ubongo kukosa hewa ya oksijeni. Sasa hapo defence ingekuwa ni kutafuta njinsi gani Lulu hakuhusika na kugonga kisogo chini kulikotokea.

Daah! Balaa likupidhie mbali, unaweza pata adhabu kwa kosa ambalo siyo lako au ni lako kwa namna moja ama nyingine. Ukweli mnaujua nyie wawili, lakini mwenzio hayupo tena. Huenda angekuwepo, angekutetea kuwa hauna kosa katika hilo. Ogopa kesi ya kichwa, ni hatari sana.
Ukweli alijichanganya Sana! Kama ni Jela ataenda kutokana na utetezi dhaifu
 
Yani we umewaza km nilichokiwaza mm.hakukua na haja ya kuanza kubumba ushahid,watu walikuwa wawili tu ndani hivi unashindwa vp kushinda hii kesi,'kanikimbiza kateleza kadondoka' hayo mengine yatakuja mbele ya safari
Kwanza sababu zilizotolewa na wazee wa mahakama kumtia lulu hatiani kuua bila kukusudia ni za kipuuz sana .... yani ningekuwa wakili wa lulu hii kesi nashinda asubuhi na mapema naenda kugonga vtu vyangu vikali
 
Nkanini ACHA UONGO WAKO, RUFAA HAIPATIKANI KWA 'DISCRETION' YA JUDGE.

RUFAA NI HAKI YA MTU, JUDGE ANAVYOITAMKA HAKI YA RUFAA NI KWAMBA ANAMKUMBUSHA MUATHIRIKA WA HUKUMU HAKI YAKE NA SYO KWAMBA JUDGE NDYO ANATOA HAKI.

JUDGE HANA UWEZO WA KUMZUIA MTU KUKATA RUFAA.

HAKUNA KOSA/HUKUMU ISYO NA RUFAA ISIPOKUWA TU KAMA HUKUMU ITAKUWA IMEFIKIA KIWANGO CHA MAHAKAMA YA JUU KABISA (KWA TZ NI COURT OF APPEAL)

HATA HVYO, MBADALA WA RUFAA NI 'REVIEW, LAKIN REVIEW SYO HAKI (MPAKA JUDGE ARIDHIE)

KUHUSU BRAIN CONCUSSION, HUTOKEA ENDAPO MTU AMEANGUKIA KISOGO AU KUPGWA KISOGON, NA SYO LAZMA UPGWE KWA NGUVU.

KWA HYO INAWEZEKANA KANUMBA ALIANGUKA MWENYEWE AKAFIKIA KISOGO AU ALIPGWA KISOGONI.
 
Back
Top Bottom