Wazee wa baraza wasema 'Lulu' ameua bila kukusudia, Jaji kutoa hukumu Novemba 13

Hukumu nov 13 sherehe za uhuru dec 9. Lulu akiwa na bahati atachomoka nov 13 au akikwama basi atapata msamaha wa upendeleo dec 9 akishindwa hapo ndo basi tena atatumikia kifungo tu au rufaa itamuokoa
#justthinkingloud#
Hii ndoto nzuri sana, endelea kulala. Ukiamka rejea maandiko ya parole
 
Hana hatia ilikuwa bahati mbaya
Sheria haitambui bahati mbaya wao wana kanuni kuu wanasema " actus reus non facit reum nisi mens sit rea" kwamba tendo haliwi ovu mpaka liendane na nia ovu.Kuna vitu wanaita exptions ambako huko hiyo kanuni inakiukwa kama kwenye kuua bila kukusudia ,kwamba umeua ila kwa utetezi na ushahidi thereof hukuwa na nia ya kuua ila umeua, so ,unaadhibiwa kwa kuwa umeua ingawa hukudhamiria kuua.Ukimtegea rafiki yako anayetaka kukaa kwenye kiti halafu wewe bila yeye kuona akajaribu kukaa akadondoka akafa tayari umeua ingawa ulikuwa huna nia hiyo.Aipokufa akadondoka akikupeleka mahakamani anakushinda lazima umlipe.
 
Kihalali hata hicho kifungo cha nje sio haki kwa Lulu, yangekua ni mazingira ya sumu tungeamini kua Lulu alifanya yake lakini sio tukio kama lilivyoripotiwa kutokea. Lulu kwa umri na umbo alilokua nalo kipindi kile ni vigumu kuiaminisha jamii kua anaweza kumua Kanumba kwa kipigo.
Kwahiyo kuua mpaka uwe na umbo kubwa?
Watoto hawaui?
Unajua maana ya kuua bila kukusudia?
 
KUUWA KWA KUKUSUDIA NA KUUWA BILA KUKUSUDIA Kuuwa bila kukusudia 195.-(1) Mtu yeyote ambaye, kwa kitendo kisicho halali au kuacha kutenda , anasababisha kifo cha mtu mwingine, ana hatia ya kuua bila kukusudia. (2) Kuacha kutenda isivyo halali ni kuacha kutenda ambako kunasababisha kuzembea kutimiza wajibu unaohusika na hifadhi ya maisha au afya, iwe kutofanya hivyo kumeandamana au hakukuandamana na kusudi la kusababisha kifo au maumivu ya mwili. Kuuwa kwa kukusudia 196. Mtu yeyote ambaye, kwa dhamira ya uovu, anasababisha kifo cha mtu mwingine kwa kitendo kisicho halali au kuacha kutenda ana hatia ya kuua kwa kukusudia. Adhabu ya kuua kwa kukusudia 197. Mtu ambaye amepatikana na hatia ya kosa la kuuwa kwa kukusudia atahukumiwa adhabu ya kifo . Adhabu ya kuua bila kukusudia 198. Mtu yeyote ambaye anatenda kosa la kuuwa bila kukusudia atawajibika kwa adhabu ya kifungo cha maisha. Hatia kwa kosa la kuua mtoto mchanga katika baadhi ya kesi 199. Pale ambapo mwanamke kwa kitendo chochote cha makusudi au kuacha kutenda kitendo hicho amesababisha kifo cha mtoto wake mwenye umri wa chini ya miezi kumi na mbili, lakini wakati wa kitendo hicho mama huyo alikuwa hajapona kutokana na kuzaa mtoto huyo na kwa sababu hiyo au kwa sababu inayohusiana na unyonyeshaji baada ya kuzaa mtoto huyo akili yake ilidhurika, bila kujali kwamba mazingira yalikuwa hivyo lakini kwa kufuata kifungu hiki ingaliweza kuwa kosa la kuua kwa kukusudia, atakuwa na hatia ya kosa la kuua mtoto mchanga, na anaweza, kushughulikiwa na kuhukumiwa kwa kosa kana kwamba alikuwa na hatia ya kumuua mtoto huyo bila kukusudia. Nia ya uovu 200. Nia ya uwovu itahesabiwa kuwepo kutokana na ushahidi wa 84 kudhibitisha mojawapo katika mambo yafuatayo- (a) dhamira ya kusababisha kifo au dhara kubwa kwa mtu yeyote, aidha mtu huyo ndiye aliyeuawa au siye; (b) kujua kwamba kitendo au kuacha kitendo kinachosababisha kifo kinaweza kusababisha kifo au dhara kubwa kwa mtu, aidha mtu huyo ndiye hasa aliyeuwawa au siye, ingawa kujua huko kunaambatana na tofauti kwamba kifo au dhara kubwa limesababishwa au la, au kwa tazamio kwamba inaweza isisababishwa; (c) dhamira ya kutenda kosa linaloadhibiwa kwa adhabu ambayo ni kubwa kuliko kifungo cha miaka mitatu; (d) dhamira ya kutenda au kutotenda ili kurahisisha ukimbizi au utorokaji, kutoka kwenye ulinzi wa mtu yeyote ambaye ametenda au amejaribu kutenda kosa. Kuua kwa kukasirishwa 201. Pale ambapo mtu ambaye isivyokuwa halali anamuua mwingine katika mazingira ambayo, lakini kwa masharti ya kifungu hiki ingalifanya kosa la kuua kwa kukusudia, anatenda kitendo ambacho kinasababisha kifo akiwa katika hali ya joto la hasira iliyosababishwa na kukasirishwa kwa ghafla kama ilivyofafanuliwa katika kifungu cha 202, na kabla ya kuwepo muda wa hasira kupoa, ana hatia ya kuuwa bila kukusudia tu. Maana ya kukasirishwa Sheria Na. 16 ya 1946 kif; 2 202.-(1) Neno “kukasirishwa” maana yake ni, isipokuwa kama itakavyoelezwa hapa chini, kitendo chochote cha maudhi au tusi la namna yoyote, ambayo akitendewa mtu wa kawaida au akitendewa mbele ya mtu wa kawaida kwa mtu mwingine aliyemo katika uangalizi wake halisi, au kwa mke, mume, mzazi, mwana, ndugu, tajiri au mtumishi kwa kumsababisha asimudu kujizuwia nafsi yake na kumshawishi kufanya shambulio kama alilolifanya huyo mshtakiwa kwa mtu aliyetendewa kitendo hicho au aliyetukanwa. (2)Wakati ambapo kitendo kama hicho kinatendwa au tusi kama hilo linatolewa na mtu kwa mtu mwingine au mbele ya mtu mwingine kwa mtu aliye katika uangalizi halisi wa huyo mwingine au kwa mtu ambaye huyo mwingine amehusika nayo vyovyote kama ilivyokwishatajwa katika kifungu kidogo cha (1) huyo mtendaji wa kitendo hicho wa kwanza amemtia hasira yule mwingine ya kufanya. (3) Kitendo halali hakimkasirishi mtu yeyote kufanya shambulio. (4) Kitendo chochote ambacho mtu akikitenda kutokana na 85 uchochezi uliofanywa na mtu mwingine ili kumshawishi atende kitendo hicho na kisha iwe ni kwa kufanya shambulio, siyo kumkasirisha mtu mwingine huyo kufanya shambulio. (5) Kukamatwa kusiko halali si lazima kukasirishe kwa kiasi cha kuweza kufanya shambulio, lakini kinaweza kuwa ni ushahidi wa kumkasirisha mtu ambaye anajua kuwa ni kinyume cha sheria . (6) Kwa madhumuni ya kifungu hiki, usemi “mtu wa kawaida” maana yake ni mtu wa kawaida katika jamii aliyomo mshtakiwa. Maana ya kusababisha kifo 203 Mtu atachukuliwa kwamba amesababisha kifo cha mtu mwingine, ingawa kitendo chake hakikusababisha kifo papo kwa papo au si sababu pekee ya kifo , katika mojawapo ya mazingira yafuatayo:- (a) iwapo amemtia mtu mwingine jeraha mwilini ambalo matokeo yake yamefanya mtu huyo mwingine kufanyiwa upasuaji au matibabu yaliyosababisha kifo; katika mazingira ambayo haijalishi kama matibabu hayo yalikuwa sawa au yalikosewa, kama yalifanywa kwa nia njema na ujuzi wa kawaida na ustadi; lakini mtu aliyetia jeraha hilo hafikiriwi kwamba amesababisha kifo hicho ikiwa matibabu yalikuwa ni sababu ya kifo cha papo kwa papo hayakufanywa kwa nia njema au yalifanywa bila ujuzi wa kawaida au ustadi. (b) iwapo anamtia mtu mwingine jeraha ambalo lisingalisababisha kifo kama mtu huyo aliyejeruhiwa alipata upasuaji au matibabu halisi au aligundua tahadhari muhimu juu ya namna ya kuishi kwake. (c) iwapo kwa kutumia nguvu au kwa kutishia anasababisha mtu mwingine kutenda kitendo ambacho kinasababisha kifo cha mtu mwingine huyo, kitendo ambacho ni njia ya kuepusha utumiaji wa nguvu ambacho katika mazingira hayo kingekuwa ni cha kawaida kwa huyo mtu ambaye kifo chake kimesababishwa hivyo; (d) iwapo kwa kitendo chochote au kutokitenda kitendo hicho anaharakisha kifo cha mtu anayeugua maradhi yoyote au jeraha lolote ambalo, tofauti na kitendo hicho au kuacha kutenda hicho maradhi hayo au jeraha hilo yangalisababisha kifo; 86 (e) iwapo kitendo chake au kuacha kutenda kwake kusingesababisha kifo isipokuwa kama kungeambatana na kitendo au kuacha kutenda kwa mtu aliyeuawa au mtu mwingine. Wakati ambapo mtoto anadhaniwa kuwa ni mtu 204 Mtoto anakuwa mtu wa kuweza kuuawa anapomaliza kabisa kuzaliwa akiwa katika hali ya uhai, awe ametoa pumzi au la, awe anajitegemea mwenyewe kwa mwenendo wa damu au sivyo na iwe kitovu kimekatwa au sivyo. Kikomo cha muda wa kufa 205.-(1) Mtu hachukuliwi kwamba amemuuwa mwingine kama kifo cha mtu huyo hakikutokea ndani ya mwaka mmoja na siku moja tangu siku hiyo ya sababu ya kifo. (2) Kwa madhumuni ya kuhesabu muda uliotajwa kwenye kifungu kidogo cha(1) hapo juu- (a) muda huo utajumuisha siku ile ambayo kitendo cha mwisho kisicho halali kinachohusiana na sababu ya kifo hicho kilitendeka; (b) Pale ambapo sababu ya kifo ni ukosefu wa kuangalia au kufanya wajibu fulani, muda huo unahesabiwa pamoja na ile siku ambayo ukosefu wa kuangalia au kufanya wajibu huko ulikoma; (c) Pale ambapo sababu ya kifo kwa sehemu moja ni kitendo kisicho halali na sehemu moja kwa kukosa kuangalia au kufanya wajibu fulani, muda huo utahesabiwa pamoja na ile siku ambayo kitendo cha mwisho kisicho halali kilitendeka au ile siku ambayo ukosefu wa kuangalia au wa kufanya wajibu huo ulikoma, m KIMESABABISHWA
 
na wewe nawe hata kama una copy na ku paste

jifunze hata kuweka Paragraph basi
 
Adhabu ya kuua bila kukusudia

Kifungu cha 198 cha Kanuni ya Adhabu (Sura ya 16 ya Sheria za Tanzania): Mtu yeyote ambaye anatenda kosa la kuuwa bila kukusudia atawajibika kwa adhabu ya kifungo cha maisha. Hatahivyo, kuna mambo mawili ya kuyazingatia wakati wa hukumu. Mosi, Jaji Rumanyika hatalazimika kukubaliana na kufuata maoni ya Wazee wa Baraza. Pili, kama Jaji naye atamkuta Lulu na hatia adhabu yaweza kupunguzwa kadiri ya mazingira ya tukio na kadhalika.
Hayo hapo yote ni maelezo ya Penal code au yapo na ya kwako?
 
Ataachia huru huyu ,sheria dunia haki mbinguni ,angekua sio MTU maarufu angepigwa mvua za kutosha ila huyu ni superstar na si mnajua mahakama za bongo ni za wanyonge tu ndo zinawatupa jela tena miaka mingi kwa makosa ya kijinga kabisa
Aliyekufa ni superstar zaidi yake
 
Hii kesi ingekuwa simple kama huyu dogo asingekuwa maarufu.
Ila hapa sasa kuna swala la public. Ni shida kidogo,
Aombe sana Mungu. Afunge na kusali, yasiyowezekana kwa wanadamu kwa Mungu yanawezekana.
 
Nilikuwa napitia comments za wadau hapo Juu..Uku nasikiliza Nyimbo ya rihanna-Man Down.Nimefikilia nikamuonea na Huruma aisee
 
Naelewa ila mawazo yao huwa yana uzito wake kama refa na vibendera usiwachukulie poa
Hao ni Lay Assessors, hakuna uzito wowote wakiwa kwenye court of records ama RMC....nguvu yao IPO Makahama ya Mwanzo huku juu ni vibwengo kama vibwengo wengine
 
Back
Top Bottom