Wazee wa baraza wasema 'Lulu' ameua bila kukusudia, Jaji kutoa hukumu Novemba 13

Wazee wa baraza wasema 'Lulu' ameua bila kukusudia, Jaji kutoa hukumu Novemba 13

Nkanini RUFAA (APPEAL) NI HAKI, NA HAKI HAITOLEWI NA MTU, IPO KISHERIA. HVYO KAMA LULU ATAFUNGWA ANAYO HAKI YA KUKATA RUFAA HATA KAMA JAJI HATOSEMA.

RUFAA NI HAKI YAKO POPOTE PALE.

ILA 'JUDICIAL REVIEW' SIYO HAKI.
Mkuu pamoja na haki hiyo,elewa jaji ana uwezo wa kutoa hukumu na akatoa sababu kuwa hakuna mahakama nyingine ambayo inaweza kufikia uamuzi tofauti kwa hiyo haki inakuwa haipo na elewa ni jaji aliyetoa hukumu ndiye anayetoa ridhaa ya rufaa.
 
Du leo nimekulike, kwa kweli tangu nimeanza kusoma post zako ambazo huwa zinakera, leo umemwaga point sio upupu unaoandikaga.
Nadhan bado kaongea upupu ila wewe hujaugunđua tu,hamna kifungo cha nje ktk kosa LA kuua Bila kukusudia
 
Du leo nimekulike, kwa kweli tangu nimeanza kusoma post zako ambazo huwa zinakera, leo umemwaga point sio upupu unaoandikaga.
Nadhan bado kaongea upupu ila wewe hujaugunđua tu,hamna kifungo cha nje ktk kosa LA kuua Bila kukusudia
 
Mkuu toka mwanzo ilikuwa inajulikana kuwa aliua bila kukusudia..hao wazee wametimiza wajibu wao tu!Jaji ndo atatoa maamuzi ya kumwachia,faini au apigwe mvua!kikubwa jaji ataangalia mambo mengi sana...umri,ugonjwa wa kanumba,pombe..nk...ila kwa mawazo yangu mm ..atatemwa au faini!
Ila yeye alibisha alisema yeye ndiyo aliponea Tundu la sindano kurestishwa in pisi ikabidi akajiliwaze la upepo koko bichi
 
Maskini Lulu....duh, Mungu anaweza kutenda miujiza
 
Watampiga miaka kadhaa!
Rufaa ndio itamchoropoa gerezani.
Mpaka wanamcholopoa atakuwa ameshajipatia shida za kutosha
Nani Kakwambia Atakaa Jela Huyo Bint Huyo Hata Mlango Wa Jela Hatoujua,, Nadhani Umenielewa
 
Kunakitu sijaelewa hapa kisheria, je aliua au alisababisha kifo? mimi najua kuna kuua na kusababisha kifo, mfano unapomchoma mtu kisu kwa kujihami ili asikudhuru, hiyo ni kuu bila kukusudia, lakini unapo jaribu kujitetea ili usidhurike kisha ukamsukuma mtu akaanguka na kujigonga kisha baadae akafa hapo ni kusababisha kifo. Wanataaluma mliobobea hebu nisaidieni hili.

Kuua ni kufanya kitendo cha kutoa mtu uhai, na kitendo hiki hata mtu asipokufa bado unashtakiwa kwa kosa la kutaka kuua ( aijalishi kwa kukusuduia au kutokusudia)

Kusababisha kifo ni kufanya kitendo au jambo ambalo litasababisha mtu kudhurika kisha kufa, kwa hili bahati nzuri mtu asipokufa panakuwa hakuna kosa wala kesi.
Kuua ndiyo huko huko kusababisha kifo hatuwezi kusema umeua kama haujasababisha kifo
 
sasa hiyo ripoti ina m link vipi na Lulu?acha jazba tujadili hoja hapa ,kuumia huko kwa Kanumba wewe umekuhusisha vipi na mtuhumiwa?je kulikuwa na murder weapon(s) kwenye eneo la tukio?vielelezo vya vilivyotokea pale vipo wapi?na self defence ya mtuhumiwa imeifikiria hapa,je history ya marehemu towards mtuhumiwa ilikuwepo mahakamani?please ebu angalia wenzetu wanavyochunguza na kuendesha kesi za namna hii.
mkuu hebu elewa basi..kwa mfano mimi na wewe tukawa tunagombana kwa kurushiana maneno..sijakugusa..lakini nikakusababishia mshituko ukadondoka ukafa...hapo kosa ninalo..la kuua bila kukusudia..its that simple..Lulu na mdogo wa kanumba wamesema wote kwamba kulikuwa na ugomvi kati ya lulu na kanumba...mbona ni simple kuelewa
 
Back
Top Bottom