Wazee wa baraza wasema 'Lulu' ameua bila kukusudia, Jaji kutoa hukumu Novemba 13

Wazee wa baraza wasema 'Lulu' ameua bila kukusudia, Jaji kutoa hukumu Novemba 13

Pamoja na hayo yote lakini lazima tukubali kuna doa kubwa limeingia kwa mahakama na kwa mawakili wa serikali....ambalo hadi leo nashindwa kuelewa kama yule wakili wa serikali aliye kuwepo jana kama anazo akili timamu kweli au alilewa rushwa aliyopewa...
Kitendo cha kukubali ushahidi wa kijinga wa mke wa Dr Slaa kwakweli ni aibu kubwa kwa mahakama....
Kwakweli sidhani kama hukumu itaaminika kabisa...
Lulu atapewa kifungo cha nje hakuna jipya..............
 
Tusubiri hiyo November,akisalimika kifungo inabidi amrudie Mungu wake kwa uhakika pasipo mzaha.Maana utakua muujiza kesi ya mauaji si kitu cha mchezo.
mchambuzi wa habari
 
Adhabu ya kuua bila kukusudia

Kifungu cha 198 cha Kanuni ya Adhabu (Sura ya 16 ya Sheria za Tanzania): Mtu yeyote ambaye anatenda kosa la kuuwa bila kukusudia atawajibika kwa adhabu ya kifungo cha maisha. Hatahivyo, kuna mambo mawili ya kuyazingatia wakati wa hukumu. Mosi, Jaji Rumanyika hatalazimika kukubaliana na kufuata maoni ya Wazee wa Baraza. Pili, kama Jaji naye atamkuta Lulu na hatia adhabu yaweza kupunguzwa kadiri ya mazingira ya tukio na kadhalika.
 
Pamoja na hayo yote lakini lazima tukubali kuna doa kubwa limeingia kwa mahakama na kwa mawakili wa serikali....ambalo hadi leo nashindwa kuelewa kama yule wakili wa serikali aliye kuwepo jana kama anazo akili timamu kweli au alilewa rushwa aliyopewa...
Kitendo cha kukubali ushahidi wa kijinga wa mke wa Dr Slaa kwakweli ni aibu kubwa kwa mahakama....
Kwakweli sidhani kama hukumu itaaminika kabisa...
Lulu atapewa kifungo cha nje hakuna jipya..............
Wewe umeshawahi kuona mtu aliyeua bila kukusudia anafungwa kifungo cha nje?ajiandae na rufaa
 
Wonders shall never end....
Dah huyu dogo huyu masikini kweli dunia noma sana.:/
 
na hawa wazee wa baraza,please ninaweza kujuzwa wanateuliwa na nani?nini sifa zao?na kwa muda gani wanakuwa kwenye hizi nafasi,was expecting kesi kama hii kusikilizwa na jaji au full bench of judges.binafsi hii kesi imeendeshwa kisiasa zaidi kuliko kisheria hopefull watampa nafasi ya kukata rufaa kama jaji atamwona ni quilty.
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyojieleeza hapo

Yule ngul wa sheria kibatala amepanga kukata rufaa haraka na mapema ili kumuokoa mteja wake asipigwe mvua zisizo na idad na jaji lumanyika

Kibatala kayaongea hayo nje ya mahakama alipokuwa akizungumza na waandish wa habar kuhusu kes ya mteja wake

Kibatara kadai hakuna ushahid wa moja kwa moja ambao umemukuta lulu na hatia ya kuuwa sema wazee wa mahakama wametoa mamuz kwa mihemuko

LONDON BABY
 
Pamoja na hayo yote lakini lazima tukubali kuna doa kubwa limeingia kwa mahakama na kwa mawakili wa serikali....ambalo hadi leo nashindwa kuelewa kama yule wakili wa serikali aliye kuwepo jana kama anazo akili timamu kweli au alilewa rushwa aliyopewa...
Kitendo cha kukubali ushahidi wa kijinga wa mke wa Dr Slaa kwakweli ni aibu kubwa kwa mahakama....
Kwakweli sidhani kama hukumu itaaminika kabisa...
Lulu atapewa kifungo cha nje hakuna jipya...
...........

Kihalali hata hicho kifungo cha nje sio haki kwa Lulu, yangekua ni mazingira ya sumu tungeamini kua Lulu alifanya yake lakini sio tukio kama lilivyoripotiwa kutokea. Lulu kwa umri na umbo alilokua nalo kipindi kile ni vigumu kuiaminisha jamii kua anaweza kumua Kanumba kwa kipigo.
 
Back
Top Bottom