Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Na petro...Wewe umeshawahi kuona mtu aliyeua bila kukusudia anafungwa kifungo cha nje?ajiandae na rufaa
Kifungu cha 198 cha Kanuni ya Adhabu (Sura ya 16 ya Sheria za Tanzania): Mtu yeyote ambaye anatenda kosa la kuuwa bila kukusudia atawajibika kwa adhabu ya kifungo cha maisha. Hatahivyo, kuna mambo mawili ya kuyazingatia wakati wa hukumu. Mosi, Jaji Rumanyika hatalazimika kukubaliana na kufuata maoni ya Wazee wa Baraza. Pili, kaka Jaji naye atamkuta Lulu na hatia adhabu yaweza kupunguzwa kadiri ya mazingira ya tukio na kadhalika.