MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Kangaroo court
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamuache kwa sheria za nchi ipi hiyo mkuu?Mbona wazee wamesema hakukusudia, wamuachie tu jamani
Lulu aliwekeza kwenye papuchi, akadhani mahakamani wanafanya usanii as usual.Hivi nn maana ya kuwa na "wakili nguli" kama huyo wakati mteja wako anahaha kujitetea mwenyewe mahakamani? Mtoto wa watu maskini hajui hata aseme nini
murder case hazina kifungo cha nje wewe .Pamoja na hayo yote lakini lazima tukubali kuna doa kubwa limeingia kwa mahakama na kwa mawakili wa serikali....ambalo hadi leo nashindwa kuelewa kama yule wakili wa serikali aliye kuwepo jana kama anazo akili timamu kweli au alilewa rushwa aliyopewa...
Kitendo cha kukubali ushahidi wa kijinga wa mke wa Dr Slaa kwakweli ni aibu kubwa kwa mahakama....
Kwakweli sidhani kama hukumu itaaminika kabisa...
Lulu atapewa kifungo cha nje hakuna jipya..............
Wazee wakisema kaua bila kukusudia ni kuwa amehusika ktk mauaji kama alikuwa anajitetea, lakini kama mtu alikuwa anakukimbiza akaanguka akafa hapo unahusika vp kama umeua bila kukusudiaKwani kashahukumiwa?ao wazee wametoa maamuzi gani?
Unajua kupiga ramli ee.uliwahibkusikia ni lazima kila siku ya uhuru wafungwa wapate msamaha? Wanaopataga msamaha hawawezi kuwa type ya Lulu wanaangalia muda aliokaa ndani,extent ya kosa lake,uzee,afya na zaidi upendeleo wa rais.Ingekuwa lazima babu Seya angeishatoka.Hukumu nov 13 sherehe za uhuru dec 9. Lulu akiwa na bahati atachomoka nov 13 au akikwama basi atapata msamaha wa upendeleo dec 9 akishindwa hapo ndo basi tena atatumikia kifungo tu au rufaa itamuokoa
#justthinkingloud#
Ushahidi uliokubaliwa jana kutoka kwa mke wa Dr slaa ndio ulipigilia msumari kuwa ataachwa huru kwa vimasharti vidogo kwa muda fulani......Jaji Rumanyika ameshatoa hukumu? Naamini bado. Wazee wa baraza wanashauri tu (kwa jinsi ninavyojua). Nipo tayari kusahihishwa/kuelimishwa.
Jamaa yetu jaribu kuficha aibuKama li mtu lishajifia huko limezikwa zamani kesi ya nini? Wamuache dogo aendelee kutupa huduma mtaani
Kwani babu seya hakujitetea?Ushahidi uliokubaliwa jana kutoka kwa mke wa Dr slaa ndio ulipigilia msumari kuwa ataachwa huru kwa vimasharti vidogo kwa muda fulani......
Ushahidi wa jana uliniacha hoi sana kiasi kwamba kila mtu ameona mazingira ya kuachiwa yanalazimishwa........hao wazee wa baraza hawatozingatiwa na judge kabisa kama alikubali ushahidi wa mke wa DR SLAA
Alilelewa na mkwere sana kiasi kwamba alikuwa huru kuropoka chochote aiseeAmestaafu yule.Alikuwa mtata sana
Jamaa yetu jaribu kuficha aibu
ur thinking is really poor this time,sorry thouHukumu nov 13 sherehe za uhuru dec 9. Lulu akiwa na bahati atachomoka nov 13 au akikwama basi atapata msamaha wa upendeleo dec 9 akishindwa hapo ndo basi tena atatumikia kifungo tu au rufaa itamuokoa
#justthinkingloud#
Maneno uliyoyaandika hapo siyo ya kiungwana mkuuAlilelewa na mkwere sana kiasi kwamba alikuwa huru kuropoka chochote aisee
Aibu ipi tena mkuu