Wazee wa baraza wasema 'Lulu' ameua bila kukusudia, Jaji kutoa hukumu Novemba 13

Wazee wa baraza wasema 'Lulu' ameua bila kukusudia, Jaji kutoa hukumu Novemba 13

Aliekufaa kafaa...japoo wakili kaonekana kabisa anambeba lulu but no way wamuachie tu mtoto wa watuu japo sio fair kwa Mama Kanumba ilaa maisha lazima yaendelee
Pia kwa jaji mwenye "akili" anaweza kutumia fursa hii kutoa fundisho kwa jamii, kila mtu karibu anamjua lulu, hivyo akipewa adhabu kali hadi watoto watajua kuwa wakifanya hiki basi hiki chaweza tokea.
Iko mikononi mwa jaji sasa hii.
 
HAPO KUNA MAMBO MAWILI YANAWEZA KUTOKEA:
1. KAMA MH. JAJI ATAKUBALIANA NA BARAZA LA WAZEE, BASI LULU ATAPEWA HUKUMU KULINGANA NA SHERIA
2. KAMA JAJI ATAONA SYO KWELI ATAACHIWA HURU.

Note:
Jaji anao uhuru wa kukubaliana au kutokubaliana mtizamo wa wazee
Pili, maoni ya baraza yana ushawishi mkubwa japo hayamlazimishi jaji kuyafuata.

Mwisho, tusubiri hukumu.

Kwa maoni yangu kulingana na maelezo ya lulu, ameua bila kukusudia

Ila kwa kuwa hatukuwepo eneo la tukio basi huenda lulu hakuua au aliua kwa kukusudia/kwa kutokusudia.
Hivi baraza la wazee ndo jury??
 
Mkuu toka mwanzo ilikuwa inajulikana kuwa aliua bila kukusudia..hao wazee wametimiza wajibu wao tu!Jaji ndo atatoa maamuzi ya kumwachia,faini au apigwe mvua!kikubwa jaji ataangalia mambo mengi sana...umri,ugonjwa wa kanumba,pombe..nk...ila kwa mawazo yangu mm ..atatemwa au faini!
Toka mwanzo ilijulikana wapi? mie nilijua marehema alianguka mwenyewe, toa ushahidi tuelewe.
 
Again ,maadam tunaishi kwenye nchi ya kusadikika hata maamuzi yake yatakuwa hivyo,kwa ushahidi gani uliotolewa mahakamani ?hakuna ripoti ya doctor?hakuna foresinc report kuhusiana na kesi hii,hakuna ripoti inayotuambia Kanumba alikufa kwa sababu zipi;na elewa ni muhimu jaji ajiridhie bila shaka kuwa mtuhumiwa aliuwa;ndio tatizo za mahakama zetu nazo kuendeshwa kimihemko.

Taratibu mkuu.
Ushahidi wa Mazingira. Na tena usisahau hoja kuu kuua bila kukusudia!. Subiri maelezo ya Jaji kwenye hukumu na bado atakuwa na nafasi ya Kukata rufaa
 
Acha tu! Hivi Kanumba alifanyiwa hata autopsy?
 
Taratibu mkuu.
Ushahidi wa Mazingira. Na tena usisahau hoja kuu kuua bila kukusudia!. Subiri maelezo ya Jaji kwenye hukumu na bado atakuwa na nafasi ya Kukata rufaa
nakubaliana nawe hukumu ipo kwa jaji sio wazee wa baraza,ila huo ushahidi wa kimazingira ni upi?elewa hakuna eye witness kwenye ile kesi kwa hiyo ripoti za doctor,foresinc zingetoa mwanga zaidi kuhusiana na kesi hii,sasa unaposema mazingira una maanisha nini?
 
Mazingira i.e Mwenedo wa Mtuhumiwa kabla na baada ya tukio
 
nakubaliana nawe hukumu ipo kwa jaji sio wazee wa baraza,ila huo ushahidi wa kimazingira ni upi?elewa hakuna eye witness kwenye ile kesi kwa hiyo ripoti za doctor,foresinc zingetoa mwanga zaidi kuhusiana na kesi hii,sasa unaposema mazingira una maanisha nini?
Seth alikua chumba cha pili na ametoa ushahid kwamba aliwasikia wanakimbizana na kupigana then akaja kuitwa Kanumba ameanguka!au unamaanisha nini?
 
Pamoja na hayo yote lakini lazima tukubali kuna doa kubwa limeingia kwa mahakama na kwa mawakili wa serikali....ambalo hadi leo nashindwa kuelewa kama yule wakili wa serikali aliye kuwepo jana kama anazo akili timamu kweli au alilewa rushwa aliyopewa...
Kitendo cha kukubali ushahidi wa kijinga wa mke wa Dr Slaa kwakweli ni aibu kubwa kwa mahakama....
Kwakweli sidhani kama hukumu itaaminika kabisa...
Lulu atapewa kifungo cha nje hakuna jipya..............
Du leo nimekulike, kwa kweli tangu nimeanza kusoma post zako ambazo huwa zinakera, leo umemwaga point sio upupu unaoandikaga.
 
Kweli ila mashahidi wengi walijikanganya kanganya tu
Na uzuri wa makosa ya jinai ni kuwa anayetakiwa kuthibitisha kosa kutendeka na kuwa mtuhumiwa ndiye aliyetenda kosa hilo bila kuacha shaka yoyote ni upande wa mashitaka. Upande wa utetezi kazi yao kubwa ni kuonesha tu kwa ushahidi unaotolewa unaacha mashaka.
 
Kihalali hata hicho kifungo cha nje sio haki kwa Lulu, yangekua ni mazingira ya sumu tungeamini kua Lulu alifanya yake lakini sio tukio kama lilivyoripotiwa kutokea. Lulu kwa umri na umbo alilokua nalo kipindi kile ni vigumu kuiaminisha jamii kua anaweza kumua Kanumba kwa kipigo.

Aliyekuambia Kanumba alikufa kwa kipigo nani? Alikufa kwa kuanguka na kupata concussion.
 
Nkanini MAZINGIRA YA KIFO AMEYAELEZEA MWENYEWE LULU, KWA HIYO MAELEZO YAKE NDIYO YALIYOBADILI MWENENDO KUTOKA KUUA KWA KUKUSUDIA KWENDA KUUA KWA KUTOKUSUDIA.

NAAMINI WAZEE WAMEMSHANGAA KWAMBA ILIKUWAJE MPAKA KANUMBA BAADA YA KUANGUKA NA KUZIMA, WAKATI SETHI ANAFANYA MPANGO WA KUMPELEKA HOSP YEYE (LULU) AKAWA NA MOOD YA KUDRIVE KWENDA COCO BEACH KULA UPEPO WAKAT MPENZ WAKE HATIMA YAKE HAIJULIKAN? TUKISEMA ALIJUA KINACHOENDELEA TUNAKOSEA?
..
 
Rejea kwenye penal code au CPA, kuua bila kukusudia inaweza kumgharimu had kifungo cha maisha.
Anyway tusubirie verdict na busara za mahakama na jaji husika
 
Back
Top Bottom