Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bush lawyers Leo mmeamuaAtahukumiwa kifungo cha nje mwaka mmoja akiwa anafanya usafi stendi ya Ubungo
Dogo ndio anapotea hivyo ile kamekula bata,sterehe mnazipenda ila mwisho wake mbayaPole Lulu; Hao wazee wamamkuta na hatia ya hili;
Manslaughter- 195. Any person who by an unlawful act or omission causes the death of another person is guilty of the felony termed "manslaughter" An unlawful omission is an omission amounting to culpable negligence to discharge a duty tending to the preservation of life or health, whether such omission is or is not accompanied by an intention to cause death or bodily harm.
Unatakiwa Kupambana ili uepuke hili;
Any person who commits the felony of manslaughter is liable to imprisonment for life.
Kweli kabisa sema naye ni sikio la kufaTusubiri hiyo November,akisalimika kifungo inabidi amrudie Mungu wake kwa uhakika pasipo mzaha.Maana utakua muujiza kesi ya mauaji si kitu cha mchezo.
Mke wa Dr Slaa ni Daktari? Kosa la kuua bila kukusudia ni kifungo cha nje?Pamoja na hayo yote lakini lazima tukubali kuna doa kubwa limeingia kwa mahakama na kwa mawakili wa serikali....ambalo hadi leo nashindwa kuelewa kama yule wakili wa serikali aliye kuwepo jana kama anazo akili timamu kweli au alilewa rushwa aliyopewa...
Kitendo cha kukubali ushahidi wa kijinga wa mke wa Dr Slaa kwakweli ni aibu kubwa kwa mahakama....
Kwakweli sidhani kama hukumu itaaminika kabisa...
Lulu atapewa kifungo cha nje hakuna jipya..............
Nimeipenda hii,sure kabisa wanyonge ndio wanaozea jela wengine bila hata hatiaAtaachia huru huyu ,sheria dunia haki mbinguni ,angekua sio MTU maarufu angepigwa mvua za kutosha ila huyu ni superstar na si mnajua mahakama za bongo ni za wanyonge tu ndo zinawatupa jela tena miaka mingi kwa makosa ya kijinga kabisa
Kwa nini unakiita "kitoto"Wazee wamesema ni kweli hiki kitoto kiliua bila kukusudia, kwahiyo kitupwe lupango
Wala perception yako tuu mkuuUnajiita nani vile?
Ganja Gal... Unavuta?
Ya chenge n traffic case.Maamuzi ya kesi hii yanaweza kufanana na ilivyokuwa kesi Ya Chenge..Ila itategemea na upande wa Family ya Kanumba..
Kesi yake ni tofauti na ya huyu...hiyo ya chenge ilikuwa ni traffic case,sio ordinary crime kama zile za kwenye Kanuni ya Adhabu (Penal Code)Waungwana
Mmesahau ya Mtemi Chenge
Aliua wanawake wawili kama sikosei kwa kuwagonga na gari
Alitiwa hatiani kuua bila kukusudia
Alipewa adhabu ya faini Laki 7
The rest is history
Leo anaendelea kuwa Mbunge na Mwenyekiti wa Bunge
Pia ndio Mwandishi wa Katiba Pendekezwa iliyopitishwa na Bunge la Katiba
Naweza kusaidia pia.Inaonekana una upeo mzuri wa kisheria, je unaweza kunisaidia ni kwa nini kesi ya Lulu haijaendeshwa kwenye Juvenile court hasa ukizingatia alikamatwa akiwa under 18 years old?