Wazee wa Betting mmeona mwenzenu Hanscana ameliwa Milioni 7.5?

Wazee wa Betting mmeona mwenzenu Hanscana ameliwa Milioni 7.5?

Kaka watu wana pesa hivi ni vitu vya kawaida sana umaskini ni kitu kibaya mno kila kitu unaona hakiwezekani...hivi nikikuambia Kuna dogo alisuka mkeka wa mechi 8 akaweka elfu 15 na ndani ya mkeka huo iĺikuwepo mechi ya yanga vs tabora na chakushangaza alimuua Yanga utaamini? Kama ungekuwepo hapa mjini mtwara kijiwe cha sweet corner ungeulizia ni nani aliweka sare kwenye game ya Tanzania na Tunisia ungeonyeshwa huyo mshkajii
 
Anahamasisha betting, hata kusuka mkeka hajui
Mimi naona kila kitu ni kamali tu fikiria wewe wazazi wako walikomaa kukusomesha ili upate ajira mwishoni hauna kazi...mwaka jana nilikuwepo kwenye timu ya mgombea ubunge mmoja kwenye mchakato wa kura za maoni za ccm jimbo la newala mjini,Jina la huyo jamaa halikuwa maarufu hata kidogo ila usiku wa mwisho kabla ya kura za maoni tulimwaga pesa kila mjumbe akila 20000 fikiria wajumbe wa jimbo zima wote wapate pesa hiyo...tukafika kijiji cha chiwhindi ambako ni kwao mbunge wa sasa nako ikamwagwa pesa mpaka kwa timu ya mpinzani wetu
 
1768703942703.jpg
 
Kamari ya betting ni tofauti na hizo scam ambazo mnaziongelea.

Betting ya mpira sio biko wala tatu mzuka kuwa wahusika wenyewe ndio wanaojua ukweli wa matokeo.

Naweza kusema Betting ya mpira ndio kamari yenye uwazi kuliko kamari nyingine.

Labda hapa useme baadhi ya makampuni ambayo yamekuwa yanahusishwa na tuhuma za ulaghai kama kufuta slips endapo uta win pesa nyingi.

Lakini kusema sijui wakina fulani na fulani wanatumiwa na makampuni kutoa mikeka ili kuwaingiza chaka wengine, sio kweli.
Kampuni gani lina laghai wa hivo?
 
Back
Top Bottom