Habari zenu wakuu
Onyo, siandiki kama matangazo ya biashara
What a week is this phuk yo poverty damn!!!, kwanza nimecheka sana na kusikitika sana kusikia DSE imepata elfu 40 kwa mauzo ya hisa hivi ni utani au serious!?? Nahisi ni serious maana hata mimi binafsi siwezi nunua hisa DSE kutokana nina haraka na pesa zangu,nahitaji return or loss inayoeleweka,nahitaji biashara zilizo serious, nahitaji liquidity inayosomeka n.k
Tuachane na hayo DSE Nitakuja kuwekeza endapo tutaingia uchumi wa viwanda kwa sasa nipo NYSE kwenye serious piposz
Bana we nirudi katika mada....,23,570$ !! Not shillings fellah witin' a single trade of EURjPY and Audjpy selling possition!! Make a count *2220tsh.,
Tuache masikhara wale trader wenzangu watakua wananielewa vyema eurjpy na audjpy zimemove sell down for about 260pips respectively tangile j4 asubuh na Gbpjpy pia
Binafsi Nami nilikua katika Ile move nikahold kwa siku mbili bila uoga siku zote sikulala vyemaa nikishuhudia equity yangu maana nilitembea lot tembo na si kawaida ku hold two day mi ni sclaper intraday,
sio siri kama kuna mtu alikua against ya zile pair nahisi alichoma akaunt week nzima hi ilikua kusell tu ***** hata kipofu alikua anapiga moneyy, nikiacha interest rate ya usd na NFP Hizo sikugusa naisi ningetouch 40,000$
Narudia sitangazi biashara nimeandika kwa mhemko tu wala sihitaji ela ya mtu wala siweki picha yoyote ya fx,forex is highly risk bz don't put what yo can't afford to lose, i lost about phucken money before sijakaa kwenye reli
Traderss leteni mrejesho jamenii wale mnaoanza msichoke au mnaolose msichoke iyo ni learning curve proccess, one day will make sense fellah, humu ktk MT4 tupo na highly inteligent pipoz so kuchukua ela zao inahitaji subira na akili isiyo na hasira wala hisia zilizo na mhemko mkubwa
Remember yo can't fight wit' a tick tree even if is livingthing
Deal closed
Enjoy a weekend