Wazee wa FOREX mtanielewa vyema

Wazee wa FOREX mtanielewa vyema

aseee nilikaaa nikasoma nikaelewa kwa sasa los kwangu kupata ni ngumu sana ni mwendo wa kuingiza pesa ndefu kila siku in real iko poa sana ka itaielewa ila usicheze kama hujui
Screenshot_20191016-200149.jpeg
 
Demo baby,
aseee nilikaaa nikasoma nikaelewa kwa sasa los kwangu kupata ni ngumu sana ni mwendo wa kuingiza pesa ndefu kila siku in real iko poa sana ka itaielewa ila usicheze kama hujuiView attachment 1235408
KAma unazipata kwel huwezi ukaka utumie simu ya kibiya kama iyo acha uongo jammama
Alafu matrader wa bongo hamjui kaa kijanja unakuta mtu anapost blue alafu kama mamilioni alafu anatumia tecno
 
Demo baby, KAma unazipata kwel huwezi ukaka utumie simu ya kibiya kama iyo acha uongo jammama
Alafu matrader wa bongo hamjui kaa kijanja unakuta mtu anapost blue alafu kama mamilioni alafu anatumia tecno
skutaka kukoment angesema mim mchawi
 
Habari zenu wakuu

Onyo, siandiki kama matangazo ya biashara

What a week is this phuk yo poverty damn!!!, kwanza nimecheka sana na kusikitika sana kusikia DSE imepata elfu 40 kwa mauzo ya hisa hivi ni utani au serious!?? Nahisi ni serious maana hata mimi binafsi siwezi nunua hisa DSE kutokana nina haraka na pesa zangu,nahitaji return or loss inayoeleweka,nahitaji biashara zilizo serious, nahitaji liquidity inayosomeka n.k

Tuachane na hayo DSE Nitakuja kuwekeza endapo tutaingia uchumi wa viwanda kwa sasa nipo NYSE kwenye serious piposz

Bana we nirudi katika mada....,23,570$ !! Not shillings fellah witin' a single trade of EURjPY and Audjpy selling possition!! Make a count *2220tsh.,

Tuache masikhara wale trader wenzangu watakua wananielewa vyema eurjpy na audjpy zimemove sell down for about 260pips respectively tangile j4 asubuh na Gbpjpy pia

Binafsi Nami nilikua katika Ile move nikahold kwa siku mbili bila uoga siku zote sikulala vyemaa nikishuhudia equity yangu maana nilitembea lot tembo na si kawaida ku hold two day mi ni sclaper intraday,

sio siri kama kuna mtu alikua against ya zile pair nahisi alichoma akaunt week nzima hi ilikua kusell tu ***** hata kipofu alikua anapiga moneyy, nikiacha interest rate ya usd na NFP Hizo sikugusa naisi ningetouch 40,000$

Narudia sitangazi biashara nimeandika kwa mhemko tu wala sihitaji ela ya mtu wala siweki picha yoyote ya fx,forex is highly risk bz don't put what yo can't afford to lose, i lost about phucken money before sijakaa kwenye reli

Traderss leteni mrejesho jamenii wale mnaoanza msichoke au mnaolose msichoke iyo ni learning curve proccess, one day will make sense fellah, humu ktk MT4 tupo na highly inteligent pipoz so kuchukua ela zao inahitaji subira na akili isiyo na hasira wala hisia zilizo na mhemko mkubwa

Remember yo can't fight wit' a tick tree even if is livingthing

Deal closed
Enjoy a weekend
Your not professional, tena nasema kwa sauti usirudie uwo ushenzi.
 
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura,kitambulisho cha Taifa, Leseni ya Udereva au kitambulisho chochote kinachotambulika na mamlaka husika, namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker pamoja na E-mail.

Ni broker pekee ambae anayekuwezesha kuweka kiasi kidogo kuanzia dollar ($) 1 kwenye akaunti yako ,pia vilevile ana huduma ya haraka sana wakati wa kutoa pesa yako, dakika 15-30 tiyari pesa inakuwa imeshatumwa kwenye account yako.

BAADA YA KUJISAJILI

Ndani ya saa 72 au chini ya hapo unakuwa na akaunti yako tiyari na kuanza kuitumia.

JISAJILI SASA
Wasiliana na mimi PM kwa msaada zaidi BURE.

Templer TemplerFX | Promo
 
TemplerFX | Promo
 
Back
Top Bottom