OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Pamoja yani complete kabisa mkuu?370k ila tunaongea mkuu karib wasap
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja yani complete kabisa mkuu?370k ila tunaongea mkuu karib wasap
eeehPamoja yani complete kabisa mkuu?
Aina noma nitakucheki mkuu.yeah complete mkuu ..piga/text/ au wasap 0752992703
lot ya 5[emoji856][emoji856][emoji856]aseee nilikaaa nikasoma nikaelewa kwa sasa los kwangu kupata ni ngumu sana ni mwendo wa kuingiza pesa ndefu kila siku in real iko poa sana ka itaielewa ila usicheze kama hujuiView attachment 1235408
KAma unazipata kwel huwezi ukaka utumie simu ya kibiya kama iyo acha uongo jammamaaseee nilikaaa nikasoma nikaelewa kwa sasa los kwangu kupata ni ngumu sana ni mwendo wa kuingiza pesa ndefu kila siku in real iko poa sana ka itaielewa ila usicheze kama hujuiView attachment 1235408
skutaka kukoment angesema mim mchawiDemo baby, KAma unazipata kwel huwezi ukaka utumie simu ya kibiya kama iyo acha uongo jammama
Alafu matrader wa bongo hamjui kaa kijanja unakuta mtu anapost blue alafu kama mamilioni alafu anatumia tecno
Demo ni rahisi sana kutrade ..njo kwenye Real sasa[emoji3][emoji3][emoji3]aseee nilikaaa nikasoma nikaelewa kwa sasa los kwangu kupata ni ngumu sana ni mwendo wa kuingiza pesa ndefu kila siku in real iko poa sana ka itaielewa ila usicheze kama hujuiView attachment 1235408
Mwambie asije na gambling yake ukuu live accDemo ni rahisi sana kutrade ..njo kwenye Real sasa[emoji3][emoji3][emoji3]
Your not professional, tena nasema kwa sauti usirudie uwo ushenzi.Habari zenu wakuu
Onyo, siandiki kama matangazo ya biashara
What a week is this phuk yo poverty damn!!!, kwanza nimecheka sana na kusikitika sana kusikia DSE imepata elfu 40 kwa mauzo ya hisa hivi ni utani au serious!?? Nahisi ni serious maana hata mimi binafsi siwezi nunua hisa DSE kutokana nina haraka na pesa zangu,nahitaji return or loss inayoeleweka,nahitaji biashara zilizo serious, nahitaji liquidity inayosomeka n.k
Tuachane na hayo DSE Nitakuja kuwekeza endapo tutaingia uchumi wa viwanda kwa sasa nipo NYSE kwenye serious piposz
Bana we nirudi katika mada....,23,570$ !! Not shillings fellah witin' a single trade of EURjPY and Audjpy selling possition!! Make a count *2220tsh.,
Tuache masikhara wale trader wenzangu watakua wananielewa vyema eurjpy na audjpy zimemove sell down for about 260pips respectively tangile j4 asubuh na Gbpjpy pia
Binafsi Nami nilikua katika Ile move nikahold kwa siku mbili bila uoga siku zote sikulala vyemaa nikishuhudia equity yangu maana nilitembea lot tembo na si kawaida ku hold two day mi ni sclaper intraday,
sio siri kama kuna mtu alikua against ya zile pair nahisi alichoma akaunt week nzima hi ilikua kusell tu ***** hata kipofu alikua anapiga moneyy, nikiacha interest rate ya usd na NFP Hizo sikugusa naisi ningetouch 40,000$
Narudia sitangazi biashara nimeandika kwa mhemko tu wala sihitaji ela ya mtu wala siweki picha yoyote ya fx,forex is highly risk bz don't put what yo can't afford to lose, i lost about phucken money before sijakaa kwenye reli
Traderss leteni mrejesho jamenii wale mnaoanza msichoke au mnaolose msichoke iyo ni learning curve proccess, one day will make sense fellah, humu ktk MT4 tupo na highly inteligent pipoz so kuchukua ela zao inahitaji subira na akili isiyo na hasira wala hisia zilizo na mhemko mkubwa
Remember yo can't fight wit' a tick tree even if is livingthing
Deal closed
Enjoy a weekend