Wazee wa FOREX mtanielewa vyema

Wazee wa FOREX mtanielewa vyema

Sasa mbona umedai umeaga umasikini?
Yes small withdraw
IMG_20190803_130944_322.JPG
 
Dah hv hata broker anaweza kuaffect account ya mtu akiwa mzembe et??
 
Hongera kwa kutengeneza mishahara ya mfanyakazi ya miaka miwili kwa siku mbili tu. Wenzetu wa South Africa waliianza Forex zamani kwa sasa kuna vijana wadogo ni matajiri sana, sisi bado tumekalia kusema Forex ni scam.
 
Wanapiga hela mpka wanaboa wale watu ,SA uwezi sema neno fx wasikuelewe Tz tunakuja kwa taratibuu ila tutakaa sawa,nangoja dogo agonge 18 age nimfundishe
 
Hiili group nalipenda sana. Acha ni show love [emoji7][emoji7]

Back
Top Bottom