heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
- Thread starter
- #21
Yes small withdrawSasa mbona umedai umeaga umasikini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes small withdrawSasa mbona umedai umeaga umasikini?
Soma tena pitia youtube @wicksdontlieDah hv hata broker anaweza kuaffect account ya mtu akiwa mzembe et??
Inategemea brokerMtaji ni kuanzia sh nfapi[emoji848]
Some offer 1$ starting deposti other wanaanzia 100$ kikubwa maarifa ya sokoMtaji ni kuanzia sh nfapi[emoji848]
Ndo ajira zetuHuu mchezo ndio habari ya dar kwa sasa
Wanapiga hela mpka wanaboa wale watu ,SA uwezi sema neno fx wasikuelewe Tz tunakuja kwa taratibuu ila tutakaa sawa,nangoja dogo agonge 18 age nimfundisheHongera kwa kutengeneza mishahara ya mfanyakazi ya miaka miwili kwa siku mbili tu. Wenzetu wa South Africa waliianza Forex zamani kwa sasa kuna vijana wadogo ni matajiri sana, sisi bado tumekalia kusema Forex ni scam.
Wewe endelea kufikiria hivyo hivyo, lakini usilazimishe limitation zako kwa watu wengine..tena ukiona neno forex kimbia kabisa, sijui humu umefatana nini!?
Last week niliifumua EurGbp wiki hii nimescalp chache tu... the rule is never give up
[/QUOTEutakuwa ulibuy mkuu wangu...
Hivi mnatumia mbinu gan mie mbona naweka mzigo na zinaliwa tu sipat??