Kabsa mwalimu lakn tunazingatia hyo noun hapo tuNasema uongo mwalimu? Munch wa Annabelle 😅 we mwenyewe si uona damaged inaweza kuwa past participle kbs
Kumbee😱 basi unafaa kabisa sio mwalimu fake ww😁Kabsa mwalimu lakn tunazingatia hyo noun hapo tu
D....based on AAVE (African american vernacular english) grammatical rules
Jibu ni hilo hapo
Upo kijijini gani mbona wapo wengu tu tena wewe ndio utaanza kuwakimbia..Huyo mwalimu anapatikaje niende tuition ya hizo grammar.
Mwambie kabisa nalipa hata kwa usd.