Wazee wa grammar, lipi ni jibu sahihi kati ya haya?

Kama furniture inawakikisha uwingi basi A,B, na C yote ni majibu sahihi..

Ikiwa furniture ipo kwenye umoja basi jibu sahihi hakuna inatakiwa kuwa "Was" kutokana na jinsi sentensi ilivyo inaonyesha ni tukio lililokamilika au kupita japo "is" inaweza kukaa kimchongo.

Ngoja nimtag Mwalimu wangu Mcmillan de Maghayo ambaye ni loose Nut ana Busu la Kenge na kitabia ni The Mongolian Savage akitoka kuvuta bange na Driz de Mafwele atakuja na jibu sahihi
 
Bila shaka ni graduate wa St kayumba?
 
Back
Top Bottom