"wazee" wa Humphrey Polepole walalamika kwa nini anawataja majina yao wakati walikuwa wanaisengenya na kuihujumu CCM na serikali sirini

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
20,711
Reaction score
31,331
Katika duru za wazee kuna malalamiko kwamba kwa nini anawataja hadharani wakati walikuwa wakifanya vikao sirini. Wengine wanahisi kwamba Pole pole ametumwa kuwafitinisha baada ya kuwaingiza katika mtego wa kusengenya na kufanya uzandiki.
 
Usiombe kupiga jungu na chizi

Lazima amwage mboga
 
Amewataja na hakuna cha kuwafanya ! Na ndiyo maana polepole anaamua kusema kwa kuwa hawawezi kusema
 
Dogo anaharibu Sana michongo Kwa kweli
 
Katika duru za wazee kuna malalamiko kwamba kwa nini anawataja hadharani wakati walikuwa wakifanya vikao sirini. Wengine wanahisi kwamba Pole pole ametumwa kuwafitinisha baada ya kuwaingiza katika mtego wa kusengenya na kufanya uzandiki.
Kwani wewe ni mzee yupi miongoni mwao?
 
Katika duru za wazee kuna malalamiko kwamba kwa nini anawataja hadharani wakati walikuwa wakifanya vikao sirini. Wengine wanahisi kwamba Pole pole ametumwa kuwafitinisha baada ya kuwaingiza katika mtego wa kusengenya na kufanya uzandiki.
Jinga wewe.
Uliongea na wazee wangapi?
Wenye umri gani
Wapi? Lini? Juu ya nn ?
Uliwauliza maswali gani?
Hao wazee wana elimu gani?
Jibu kama mtu mwenye akili timamu na SIYO CHAWA
 
Utataga mwaka huu
 
Katika duru za wazee kuna malalamiko kwamba kwa nini anawataja hadharani wakati walikuwa wakifanya vikao sirini. Wengine wanahisi kwamba Pole pole ametumwa kuwafitinisha baada ya kuwaingiza katika mtego wa kusengenya na kufanya uzandiki.
Hapa ndio unaona umecheza bonge la mindgames.
 
Utataga mwaka huu
Yaani nitage kwa kumjibu CHAWA kama wewe ambaye hujawahi hata kufanya utafiti wa unachokiandika?
Nitashangaza sana
Wewe ni CHAWA ndo mana unaandika kama kasuku. Tangu lini binaadam AKATAGA?
 
Katika duru za wazee kuna malalamiko kwamba kwa nini anawataja hadharani wakati walikuwa wakifanya vikao sirini. Wengine wanahisi kwamba Pole pole ametumwa kuwafitinisha baada ya kuwaingiza katika mtego wa kusengenya na kufanya uzandiki.
Zitakuwa duru za matako yako
 
Back
Top Bottom