Sangamwalogesha
JF-Expert Member
- Mar 10, 2025
- 2,153
- 1,419
We kenge wa Rwanda acha kufuatilia mambo ya nchi yetu, hii siyo Congo DRHakuna mzee wa kanda ya ziwa ndumilakuwili hayo yapo pwani kwa msoga gang
We kenge wa Rwanda acha kufuatilia mambo ya nchi yetu, hii siyo Congo DRHakuna mzee wa kanda ya ziwa ndumilakuwili hayo yapo pwani kwa msoga gang
Propaganda za kizee ndio fact?Ni fact
Zizeeke mara 2?Fact hazizeeki
Punguza mafuta taa hayo kila sekunde unalipuka..Usinipangie
Hilooooooooooo dada Mwajuma tumekustukiaKatika duru za wazee kuna malalamiko kwamba kwa nini anawataja hadharani wakati walikuwa wakifanya vikao sirini. Wengine wanahisi kwamba Pole pole ametumwa kuwafitinisha baada ya kuwaingiza katika mtego wa kusengenya na kufanya uzandiki.
Man- Fila-ndu, Sina msemo Dada.Unasemaje Asha ndala ndefu?
Ishakula kwake atulize boli