"wazee" wa Humphrey Polepole walalamika kwa nini anawataja majina yao wakati walikuwa wanaisengenya na kuihujumu CCM na serikali sirini

Katika duru za wazee kuna malalamiko kwamba kwa nini anawataja hadharani wakati walikuwa wakifanya vikao sirini. Wengine wanahisi kwamba Pole pole ametumwa kuwafitinisha baada ya kuwaingiza katika mtego wa kusengenya na kufanya uzandiki.
Kawahadithie wehu wenzio huku tuna akili timamu.
 
Katika duru za wazee kuna malalamiko kwamba kwa nini anawataja hadharani wakati walikuwa wakifanya vikao sirini. Wengine wanahisi kwamba Pole pole ametumwa kuwafitinisha baada ya kuwaingiza katika mtego wa kusengenya na kufanya uzandiki.
Wamekwambia lini ?
 
Kama walikuwa wakisengenya kwa nia njema kwanini waogope?
 
Katika duru za wazee kuna malalamiko kwamba kwa nini anawataja hadharani wakati walikuwa wakifanya vikao sirini. Wengine wanahisi kwamba Pole pole ametumwa kuwafitinisha baada ya kuwaingiza katika mtego wa kusengenya na kufanya uzandiki.

Si mbaya kuwataja kuweka mambo clear maana hamkawii kusema muongo....anawataja ili kama kuna dauti mkawaulize.
 
Back
Top Bottom