Wazee wa kazi hili ni tatizo gani limenikumba?

VDRL inahusisha damu kama sample kuonyesha uwepo wa bakteria wa kaswende/syphyilis. Gonorrhea inapimwa kwa kutumia sample form infected area. Kama majimaji/mkojo kutoka kwenye uume. Ukiachana na maumivu wakati wa kukojoa, pia hiyo hali yako ya kutoka uchafu mweupe kama usaha hiyo ni ni dalili ya gonorrhea 100%
 
Hahahaaaa! Mkuu wakati unakula mzigo Kiroho safi ulijiona wewe ndiyo kidume haswa. Mbususu imeumuka frshi kama kitumbua, joto lake kama volcano ya mlima wa Nyamulagira na huku dushe likifinywa Kwa ndani. Sasa unalipa bei. Siku nyingine ukiona demu haoneshi upinzani unapotaka kula mzigo kavukavu shituka.
 
Siku hizi warembo wengi wana magongwa mengi sana huko chini.
Hii ni kutokana na kuachia mizigo hovyo hovyo.
Mkuu jihadhari na vitu vinaitwa pisi kali ni hatari kwa afya
 
Pisi kali ni chocho hatarishi sana
 

Wewe hujaenda Hospital, Nenda kwanza
 
una ugonjwa wa zinaa mojawapo, kuna siku utajidhihirisha tu. Omba Mungu yasikukute. umeshazaa,jua hapo ugonjwa unachakata mbupu na kizazi chako kimyakimya.
 
Mkuu, si tulikubaliana NoFap. Imekuaje tena?

Niliteleza kidogo mtaalam nilikutana na pisi moja matata sana utafikiri zile tunazozionaga instagram, mzee nikashindwa kujizuia ila mnipokee narudi kundini haraka sana na kwa kasi ya ajabu.
 
una ugonjwa wa zinaa mojawapo, kuna siku utajidhihirisha tu. Omba Mungu yasikukute. umeshazaa,jua hapo ugonjwa unachakata mbupu na kizazi chako kimyakimya.

Nilishawahi pata ugonjwa wa zinaa nikautibu fresh hii imetokea baada ya kukutana na mwanamke mwingine juzi sio kwamba ugonjwa ulikuwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…