Wazee wa kazi hili ni tatizo gani limenikumba?

Hapo ndiyo umenishtua mzee inamaana kile kipimo cha VDRL hakipimi gonorea kinapima syhilis. Nipe elimu kidogo gonorrea inapimwa kwa kipimo gani mtaalam na dawa walizonipa je sahihi? Maana madokta wengine hawaeleweki… wamenipa dawa ya AZUMA na nyingine inaitwa TRICOZOLE TABLETS zina rangi ya njano.

Na je vipi kuhusu CEFIXIME ambayo kuna mdau ameitaja hapo kwamba niitafute!!!!
VDRL inahusisha damu kama sample kuonyesha uwepo wa bakteria wa kaswende/syphyilis. Gonorrhea inapimwa kwa kutumia sample form infected area. Kama majimaji/mkojo kutoka kwenye uume. Ukiachana na maumivu wakati wa kukojoa, pia hiyo hali yako ya kutoka uchafu mweupe kama usaha hiyo ni ni dalili ya gonorrhea 100%
 
Hahahaaaa! Mkuu wakati unakula mzigo Kiroho safi ulijiona wewe ndiyo kidume haswa. Mbususu imeumuka frshi kama kitumbua, joto lake kama volcano ya mlima wa Nyamulagira na huku dushe likifinywa Kwa ndani. Sasa unalipa bei. Siku nyingine ukiona demu haoneshi upinzani unapotaka kula mzigo kavukavu shituka.
 
Wasalam!

Wazee juzi ijumaa nilikutana na toto moja hivi ya moto balaa kula mtu alikuwa anaiangalia basi mjuna nikajitosa kwa mazungumzo mafupi ya kufahamiana kisha mrembo akaachia namba kuilaini sana.

Huwa nikionaga mademu wakali sichelewi kuomba mzigo na mara nyingi sinyimwi kwa kufanya hivyo, hii teknik naotumia kwa mademu wakali tu maana nakuwa najiaminia kwamba hata akinikatalia fresh maana mtoto mwenyewe anaviwango sio vya kawaida si huwa wananipa vizuuuri kabisa.

Huyu mrembo baada ya kukutana nae asubuhi ilipofika mchana nikampanga akaingia kingi usiku nilaka mzigo heavy heavy. Jumaamosi tena tukashinda geto namkamua kweli kweli. Shida nimeanza kuipata jumaapili nikienda kukojoa kuna vitu vyeupe vinatoka mwishoni baada ya kumaliza kukojoa vinakuwa kama usaha hivi, inafuka jmaatatu ya jana hali ni hiyo hiyo nikasema tayari nishapata gono mamaaaaeeee ila mbona gono ukikojoa huwa mkojo unauma sana ila kwangu ni tofauti mojo hauumi ila ukiminya dudu kuna vitu vyeupe kamausaha vinatoka nikaona niwahi hospitali hiyo ni jtatu ya jana sasa.

Baada ya kuweleza dokta shida yangu akanipeleka maabara kwa vipimo nya VDRL na majibu yakaja sina maambukizi ila wakanipa dawa moja ni ile ya azuma na nyingine nitaiambatanisha hapo inaitwa tricizole tablets.

Sasa wakurungwa sijaambukizwa STDI je hii itakuwa ni UTI ama ni nini na kama ni UTI je hizi dawa zinatibu UTI?

Kuhusu huyu mrembo sihitaji kumuona tena na wala sijamchana chochote nataka nipone kwanza kisha nimpe makavu live.
Siku hizi warembo wengi wana magongwa mengi sana huko chini.
Hii ni kutokana na kuachia mizigo hovyo hovyo.
Mkuu jihadhari na vitu vinaitwa pisi kali ni hatari kwa afya
 
Hahahaaaa! Mkuu wakati unakula mzigo Kiroho safi ulijiona wewe ndiyo kidume haswa. Mbususu imeumuka frshi kama kitumbua, joto lake kama volcano ya mlima wa Nyamulagira na huku dushe likifinywa Kwa ndani. Sasa unalipa bei. Siku nyingine ukiona demu haoneshi upinzani unapotaka kula mzigo kavukavu shituka.
Pisi kali ni chocho hatarishi sana
 
Wasalam!

Wazee juzi ijumaa nilikutana na toto moja hivi ya moto balaa kula mtu alikuwa anaiangalia basi mjuna nikajitosa kwa mazungumzo mafupi ya kufahamiana kisha mrembo akaachia namba kuilaini sana.

Huwa nikionaga mademu wakali sichelewi kuomba mzigo na mara nyingi sinyimwi kwa kufanya hivyo, hii teknik naotumia kwa mademu wakali tu maana nakuwa najiaminia kwamba hata akinikatalia fresh maana mtoto mwenyewe anaviwango sio vya kawaida si huwa wananipa vizuuuri kabisa.

Huyu mrembo baada ya kukutana nae asubuhi ilipofika mchana nikampanga akaingia kingi usiku nilaka mzigo heavy heavy. Jumaamosi tena tukashinda geto namkamua kweli kweli. Shida nimeanza kuipata jumaapili nikienda kukojoa kuna vitu vyeupe vinatoka mwishoni baada ya kumaliza kukojoa vinakuwa kama usaha hivi, inafuka jmaatatu ya jana hali ni hiyo hiyo nikasema tayari nishapata gono mamaaaaeeee ila mbona gono ukikojoa huwa mkojo unauma sana ila kwangu ni tofauti mojo hauumi ila ukiminya dudu kuna vitu vyeupe kamausaha vinatoka nikaona niwahi hospitali hiyo ni jtatu ya jana sasa.

Baada ya kuweleza dokta shida yangu akanipeleka maabara kwa vipimo nya VDRL na majibu yakaja sina maambukizi ila wakanipa dawa moja ni ile ya azuma na nyingine nitaiambatanisha hapo inaitwa tricizole tablets.

Sasa wakurungwa sijaambukizwa STDI je hii itakuwa ni UTI ama ni nini na kama ni UTI je hizi dawa zinatibu UTI?

Kuhusu huyu mrembo sihitaji kumuona tena na wala sijamchana chochote nataka nipone kwanza kisha nimpe makavu live.

Wewe hujaenda Hospital, Nenda kwanza
 
una ugonjwa wa zinaa mojawapo, kuna siku utajidhihirisha tu. Omba Mungu yasikukute. umeshazaa,jua hapo ugonjwa unachakata mbupu na kizazi chako kimyakimya.
 
Mkuu, si tulikubaliana NoFap. Imekuaje tena?

Niliteleza kidogo mtaalam nilikutana na pisi moja matata sana utafikiri zile tunazozionaga instagram, mzee nikashindwa kujizuia ila mnipokee narudi kundini haraka sana na kwa kasi ya ajabu.
 
una ugonjwa wa zinaa mojawapo, kuna siku utajidhihirisha tu. Omba Mungu yasikukute. umeshazaa,jua hapo ugonjwa unachakata mbupu na kizazi chako kimyakimya.

Nilishawahi pata ugonjwa wa zinaa nikautibu fresh hii imetokea baada ya kukutana na mwanamke mwingine juzi sio kwamba ugonjwa ulikuwepo.
 
Back
Top Bottom