Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Ijumaa ndio hii, inakaribia kuishia.
Maisha ni kufurahi na marafiki, sio kila siku kuwaza kununua matofari tu; kuwekeza mwilini kwa kuupa furaha ni muhimu zaidi.
Wako wapi wazee wa kale, waliishi miaka mia mbili, wengine miaka mia tisa, sasa wako wapi?
Kwa sababu tunaishi mara moja, muhimu kufurahi na marafiki.
Wapi chimbo zuri kwa ajili ya 'vibe'?