Wazee wa Kimaasai na Meru kuvunja chungu kufuatia mauaji ya Ali Kibao

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
20,654
Reaction score
35,887
Kufuatia mauaji ya kutisha & kusikitisha ya Mzee Ally Mohamed Kibao kada wa CHADEMA Wazee wa kimila wa makabila ya Wamaasai & Wameru wameanza taratibu za kuvunja CHUNGU.

Wale wote waliopanga,waliotekeleza,waliofahamu na walioficha wategemee kilio kikuu ambacho kitakwenda kusambaratisha hadi familia zao.

Uamuzi wa kuvunja CHUNGU umefikiwa baada ya kujiridhisha jeshi la Polisi limekuwa halitendi haki.

Soma Pia:
Naomba kuwasilisha.

Ngongo kwasasa Kikatiti.
 
Wapi wapare?
Hao watu chungu chao weka mbali kabisa
 
Kufuatia mauaji ya kutisha & kusikitisha ya Mzee Ally Mohamed Kibao kada wa CHADEMA Wazee wa kimila wa makabila ya Wamaasai & Wameru wameanza taratibu za kuvunja CHUNGU.

Wale wote waliopanga,waliotekeleza,waliofahamu na walioficha wategemee kilio kikuu ambacho kitakwenda kusambaratisha hadi familia zao.

Uamuzi wa kuvunja CHUNGU umefikiwa baada ya kujiridhisha jeshi la Polisi limekuwa halitendi haki.

Soma Pia:
Naomba kuwasilisha.

Ngongo kwasasa Kikatiti.
Bora watambue kuwa wanaouawa ni binadamu
 
Wanajisumbua bure tu
 
Albadiri, chungu na Misa za kulaani wauaji kila mahali kuonyesha wananchi wanakerwa na suala hili. Je Viongozi nao wanakerwa na suala hili la mauaji na utekaji?
 
Kwa jicho langu la 3 hii ni aina nyingine ya siasa
Watasema kama ninge sasa nipo so sihusiki
 
Nasikia sikia watu wakisema serikali hairogeki wala hailaaniki.
Mwaka 2003 au na nne miaka hiyo nipo Tanga najitafuta alitokea mgambo mmoja anaitwa kitu kama Lameck hivi watakaokumbuka watanirekebisha yule bwana alikua anatumwa tumwa hivyo hivyo,

Kavunje vibanda vile ,kakamate machinga soko la mgandini, basi tabia yake akitumwa anafanya sifa na kufuru za kufa mtu akidai anafanya kazi ya serikali,

Kabla ya kifo chake akiwa na askari polisi waliongoza kusimamia bomoa bomoa sehemu moja inaitwa beach kwa bibi/magaoni kitu kama hiko,

Bwana yule alifanya kazi kuliko tinga akikuta kijumba teke ,anairukia kwa misifa ,raia mmoja sniper wa mtaani akachukua manati kwa mbaali kabisa akalenga jicho pale pale jamaa aliona giza jicho limepasuka,

Alipotoka hospitali ndio unyama ukamzidi siku hiyo alivamia genge la matunda na mama ntilie beba misosi na matunda ,

Yule mwenye matunda mgosi mmoja akamwambia wewe si serikali hurogeki ngoja naenda nyumbani majibu utayapata.

The rest is history jamaa alianza kuumwa ghafla ugonjwa hauonekani baada ya wiki mbili akaanza kuoza kitandani , kwa kifupi alikufa akiwa kashaoza wa kunuka kabisaaaa,

Wahalifu hao wanajipa moyo kwamba wao ni sehemu ya serikali lakini likija na kuja haliangalio serikali linaangalia mtu tu
 
Back
Top Bottom