Wazee wa Kimaasai na Meru kuvunja chungu kufuatia mauaji ya Ali Kibao

Wazee wa Kimaasai na Meru kuvunja chungu kufuatia mauaji ya Ali Kibao

Kufuatia mauaji ya kutisha & kusikitisha ya Mzee Ally Mohamed Kibao kada wa CHADEMA Wazee wa kimila wa makabila ya Wamaasai & Wameru wameanza taratibu za kuvunja CHUNGU.

Wale wote waliopanga,waliotekeleza,waliofahamu na walioficha wategemee kilio kikuu ambacho kitakwenda kusambaratisha hadi familia zao.

Uamuzi wa kuvunja CHUNGU umefikiwa baada ya kujiridhisha jeshi la Polisi limekuwa halitendi haki.

Soma Pia:
Naomba kuwasilisha.

Ngongo kwasasa Kikatiti.
naiona anguko la serikali watapukutika sana
 
Hata kama na wao wameuawa. Chungu kitapiga familia zao.

Kule Usukumani kuna kitu kinaitwa Lutego, hiyo kitu ogopa mwamba. Inaua Wanafamilia ambao hawajahusika kwenye upuuzi wako,wanyama wa kufugwa waliopo, sisimizi na kunguni wote, mwisho kabisa ni Wewe mwenyewe mhusika. Yaani kitu inasafisha uovu wote Manina kabisa!
Na kunguni mkuu?😀😀😀
 
Back
Top Bottom