Wazee wa Kimaasai na Meru kuvunja chungu kufuatia mauaji ya Ali Kibao

Wazee wa Kimaasai na Meru kuvunja chungu kufuatia mauaji ya Ali Kibao

Jungu halijawahi acha mtu salama.
Jirani jungu lilipigwa mpaka sasa famikia nzima wamefariki kabaki ndugu mmoja imebidi wamhamishe nyumbani pale baada ya yeye nae kuonza kuchanganyikiwa.
Mpaka sasa anatoka mbezi hadi huguruni kwa mguu na kurudi kila siku.
Inasemekana walishirikiana kudhulumu shamba la bana yao mdoho ndio akavunja jungu kwa wote walioshirikoana
 
Kufuatia mauaji ya kutisha & kusikitisha ya Mzee Ally Mohamed Kibao kada wa CHADEMA Wazee wa kimila wa makabila ya Wamaasai & Wameru wameanza taratibu za kuvunja CHUNGU.

Wale wote waliopanga,waliotekeleza,waliofahamu na walioficha wategemee kilio kikuu ambacho kitakwenda kusambaratisha hadi familia zao.

Uamuzi wa kuvunja CHUNGU umefikiwa baada ya kujiridhisha jeshi la Polisi limekuwa halitendi haki.

Soma Pia:
Naomba kuwasilisha.

Ngongo kwasasa Kikatiti.
Safi sana unajua hata wachaga wana hili la kuvunja chungu! Hilli linamaliza familia na ukoo wa washenzi walioshiriki ushenzi! Wachaga kaeni mkao wa kurudi edeni!
 
Kufuatia mauaji ya kutisha & kusikitisha ya Mzee Ally Mohamed Kibao kada wa CHADEMA Wazee wa kimila wa makabila ya Wamaasai & Wameru wameanza taratibu za kuvunja CHUNGU.

Wale wote waliopanga,waliotekeleza,waliofahamu na walioficha wategemee kilio kikuu ambacho kitakwenda kusambaratisha hadi familia zao.

Uamuzi wa kuvunja CHUNGU umefikiwa baada ya kujiridhisha jeshi la Polisi limekuwa halitendi haki.

Soma Pia:
Naomba kuwasilisha.

Ngongo kwasasa Kikatiti.
Hamnaga kitu kwenye hayo matambiko. Wanatishiwa wenye hizo imani za kishirikina.
 
Hii kitu ya chungu ya kimasai msije zani ni story
Ni kweli
Nakumbuka wakati tukiwa wadogo sana
Huyo jamaa aliibiwa zile pikikpk kubwa yale ya mereran nafikor watu wa kule mnayajua
Akita wazee wafanye mila

Eee bana pikipik ilirudi lakini walidondoka watu wengi

Chungu sio nzuri
 
Wapi wapare?
Hao watu chungu chao weka mbali kabisa
Kuna watu wanaitwa "wakamba" aisee ni hatar chungu kikivunjwa bas kuanzia kesho yake kabla jua halijatus linaondoka na mtu ,kesho yake Tena kabla ya jua kutua linatua na mtu,kesho kutwa yake jua linatua na mtu,yaan mpaka ukoo unaisha ,na kama Kuna mtot ulizaa njee au yupo ndan ya ukoo naye kwisha.
 
Mzigo ukitiki narud kwenue imani za Babu zetu maama mpaka sasa sina Dini na siamini chochote isipokua akili na nguvu zangu tu labda na utu wema kama back up.
 
Daah! Ngoja tuone pande ipi itashinda vita.
Ila sehemu isio kua nashaka nikwenye karma hakika hapa majibu ni 100%
 
Atakayepona hapo ni Mpango TU. Wenginw sijui
Wewe ni mmasai au Mmeru? Je! Unaamini nguvu za matunguli ya Wamasai au Wameru? Maana sasa imebidi twende kitamaduni zaidi unaamka umepigwa chale na aliekupiga chale humjui
 
Nasikia sikia watu wakisema serikali hairogeki wala hailaaniki.
Kama haiolegeki nenda kawaulize ndugu zake Ditopile Mzuzule kilichomkuta ndugu yao huyo nilomtaja amvaye alikuwa mkuu wa mkoa wa Tabora enzi za JK aliyemuua dereva daladala kwa kumpiga risasi aliishi siku ngapi baada ya lile tukio
 
Najua alifia hotelini Morogoro, lkn wahuni wanasema ilikuwa coincidence tu
 
Back
Top Bottom