Wazee wa Kimaasai na Meru kuvunja chungu kufuatia mauaji ya Ali Kibao

Kwani wanaroga au wanamlilia Mungu.

Serikali ikisema ua inabidi ujiongeze... Ww sio jokeri ndo mana Mungu akakupa utashi na akili
We jamaa umenikumbusha Jokeri la kwenye karata 😆😆🤣🤣🤣....Kwamba jamaa zetu wa Vyombo vya Dola ni kama Majokeri tu. Wanafanya kazi bila kushirikisha brain....Kwi kwi kwi kwiiii 🤣🤣.
 
Inadaiwa mtu akitumwa na serikali kwenda kuuwa, naye nyuma yake huwa anatumiwa watu wamuue. Waliomuua mzee Kibao wo walishazikwa hata kabla ya mzee Kibao.
Hata kama na wao wameuawa. Chungu kitapiga familia zao.

Kule Usukumani kuna kitu kinaitwa Lutego, hiyo kitu ogopa mwamba. Inaua Wanafamilia ambao hawajahusika kwenye upuuzi wako,wanyama wa kufugwa waliopo, sisimizi na kunguni wote, mwisho kabisa ni Wewe mwenyewe mhusika. Yaani kitu inasafisha uovu wote Manina kabisa!
 
Kufuatia mauaji ya kutisha & kusikitisha ya Mzee Ally Mohamed Kibao kada wa CHADEMA Wazee wa kimila wa makabila ya Wamaasai & Wameru wameanza taratibu za kuvunja CHUNGU.

Wale wote waliopanga,waliotekeleza,waliofahamu na walioficha wategemee kilio kikuu ambacho kitakwenda kusambaratisha hadi familia zao.

Uamuzi wa kuvunja CHUNGU umefikiwa baada ya kujiridhisha jeshi la Polisi limekuwa halitendi haki.

Soma Pia:
Naomba kuwasilisha.

Ngongo kwasasa Kikatiti.
Chungu kilimaliza ukoo wa akina Zendelile....

Naogopa sana hayo mambo...
 
Kwamba huo usanii mjini haufiki, au lazima uwe porini tu?
We Mwakijambo naona unakaza fuvu kweli.

Zitto Kabwe tu hapo alishaambie mjaribu kumgusa kama hajawapeleka nyie na familia zenu kuzimu fasta. Na unakufa kwa mateso makali sana. Si wewe ni mtu wa mfumi? Mfate Zitto huyo hapo ukatest mitambo.
 
Nazungumzia jambo linalotekelezeka ww unaniambia habari za Zito! Kwahiyo vitisho vya Zito ndio ushahidi wa hizo imani za kubumba?
 
Sasa ili ujue linatekelezeka au halitekelezeki si lazima ukajaribu? Yaani kama una mashaka sumu inaweza kuua au la si ujaribu kwa kuilamba? Sasa nenda kamteke na kumtesa Zitto Kabwe yuko pale anakusubiri halafu ulete majibu.
 
We Mwakijambo naona unakaza fuvu kweli.

Zitto Kabwe tu hapo alishaambie mjaribu kumgusa kama hajawapeleka nyie na familia zenu kuzimu fasta. Na unakufa kwa mateso makali sana. Si wewe ni mtu wa mfumi? Mfate Zitto huyo hapo ukatest mitambo.
Wewe Mwakijambo sijui Mwaushuzi mtafute aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Magu, Mr.Elias Malugu aliyewaletea dharau Wasukuma wa pale, atakwambia kama hayo mambo yapo au hayapo. Wala hayuko mbali, yuko pale kwao Bunda. Wamuulize eti Wasukuma walikufanyia nini?
 
Sasa ili ujue linatekelezeka au halitekelezeki si lazima ukajaribu? Yaani kama una mashaka sumu inaweza kuua au la si ujaribu kwa kuilamba? Sasa nenda kamteke na kumtesa Zitto Kabwe yuko pale anakusubiri halafu ulete majibu.
Amka ww, yaani ili mimi nijue dawa fulani inafanya kazi ni lazima niijaribu, siwezi kuona matokeo kwa wengine? Achana na imani za kishirikina boss.
 
Kufuatia mauaji ya kutisha & kusikitisha ya Mzee Ally Mohamed Kibao kada wa CHADEMA Wazee wa kimila wa makabila ya Wamaasai & Wameru wameanza taratibu za kuvunja CHUNGU.

Wale wote waliopanga,waliotekeleza,waliofahamu na walioficha wategemee kilio kikuu ambacho kitakwenda kusambaratisha hadi familia zao.

Uamuzi wa kuvunja CHUNGU umefikiwa baada ya kujiridhisha jeshi la Polisi limekuwa halitendi haki.

Soma Pia:
Naomba kuwasilisha.

Ngongo kwasasa Kikatiti.
Mauchawi uchawi
 
Huku Halbadir kule wazee wa Hekima wa kimasai soon kiongozi mkuu ataanza kubabuka kama Mrema na ile Halbadir ya Muembe Yanga.
 
Kuna watu wanaitwa "wakamba" aisee ni hatar chungu kikivunjwa bas kuanzia kesho yake kabla jua halijatus linaondoka na mtu ,kesho yake Tena kabla ya jua kutua linatua na mtu,kesho kutwa yake jua linatua na mtu,yaan mpaka ukoo unaisha ,na kama Kuna mtot ulizaa njee au yupo ndan ya ukoo naye kwisha.
Hii ndiyo ya kichaga sasa! hadi watu wanaambiwa wawe na watoto nje ya ukoo wapone chungu kikilia!
 
Back
Top Bottom