Wazee wa Kimaasai na Meru kuvunja chungu kufuatia mauaji ya Ali Kibao

Kufuatia mauaji ya kutisha & kusikitisha ya Mzee Ally Mohamed Kibao kada wa CHADEMA Wazee wa kimila wa makabila ya Wamaasai & Wameru wameanza taratibu za kuvunja CHUNGU.

Wale wote waliopanga,waliotekeleza,waliofahamu na walioficha wategemee kilio kikuu ambacho kitakwenda kusambaratisha hadi familia zao.

Uamuzi wa kuvunja CHUNGU umefikiwa baada ya kujiridhisha jeshi la Polisi limekuwa halitendi haki.

Soma Pia:
Naomba kuwasilisha.

Ngongo kwasasa Kikatiti.
Safari hii maza hachomoki
 
Nasikia sikia watu wakisema serikali hairogeki wala hailaaniki.
Mwaka 2003 au na nne miaka hiyo nipo Tanga najitafuta alitokea mgambo mmoja anaitwa kitu kama Lameck hivi watakaokumbuka watanirekebisha yule bwana alikua anatumwa tumwa hivyo hivyo,

Kavunje vibanda vile ,kakamate machinga soko la mgandini, basi tabia yake akitumwa anafanya sifa na kufuru za kufa mtu akidai anafanya kazi ya serikali,

Kabla ya kifo chake akiwa na askari polisi waliongoza kusimamia bomoa bomoa sehemu moja inaitwa beach kwa bibi/magaoni kitu kama hiko,

Bwana yule alifanya kazi kuliko tinga akikuta kijumba teke ,anairukia kwa misifa ,raia mmoja sniper wa mtaani akachukua manati kwa mbaali kabisa akalenga jicho pale pale jamaa aliona giza jicho limepasuka,

Alipotoka hospitali ndio unyama ukamzidi siku hiyo alivamia genge la matunda na mama ntilie beba misosi na matunda ,

Yule mwenye matunda mgosi mmoja akamwambia wewe si serikali hurogeki ngoja naenda nyumbani majibu utayapata.

The rest is history jamaa alianza kuumwa ghafla ugonjwa hauonekani baada ya wiki mbili akaanza kuoza kitandani , kwa kifupi alikufa akiwa kashaoza wa kunuka kabisaaaa,

Wahalifu hao wanajipa moyo kwamba wao ni sehemu ya serikali lakini likija na kuja haliangalio serikali linaangalia mtu tu
 
Kufuatia mauaji ya kutisha & kusikitisha ya Mzee Ally Mohamed Kibao kada wa CHADEMA Wazee wa kimila wa makabila ya Wamaasai & Wameru wameanza taratibu za kuvunja CHUNGU.

Wale wote waliopanga,waliotekeleza,waliofahamu na walioficha wategemee kilio kikuu ambacho kitakwenda kusambaratisha hadi familia zao.

Uamuzi wa kuvunja CHUNGU umefikiwa baada ya kujiridhisha jeshi la Polisi limekuwa halitendi haki.

Soma Pia:
Naomba kuwasilisha.

Ngongo kwasasa Kikatiti.
Safari hii maza hachomoki
Albadiri, chungu na Misa za kulaani wauaji kila mahali kuonyesha wananchi wanakerwa na suala hili. Je Viongozi nao wanakerwa na suala hili la mauaji na utekaji?
Wao ni wahusika
 
Kila kona ya Tanzania wameanza kuwakataa wakoloni weusi waliojivika chama cha ukombozi wa Tanganyika na Zanzibar.

Wakati wanafanya yaleyale ya wakoloni waliopita waliotoka nje ya bara la Afrika.
 
..
 
Attachments

  • FB_IMG_1700284780873.jpg
    FB_IMG_1700284780873.jpg
    42.5 KB · Views: 4
Kufuatia mauaji ya kutisha & kusikitisha ya Mzee Ally Mohamed Kibao kada wa CHADEMA Wazee wa kimila wa makabila ya Wamaasai & Wameru wameanza taratibu za kuvunja CHUNGU.

Wale wote waliopanga,waliotekeleza,waliofahamu na walioficha wategemee kilio kikuu ambacho kitakwenda kusambaratisha hadi familia zao.

Uamuzi wa kuvunja CHUNGU umefikiwa baada ya kujiridhisha jeshi la Polisi limekuwa halitendi haki.

Soma Pia:
Naomba kuwasilisha.

Ngongo kwasasa Kikatiti.
Hivi unajua kuvunja chungu kwa mazingira kama hayo ni hatari?
Mfano wauaji wanaweza kwenda msibani na kutoa rambi rambi, chungu kikivunjwa kinakula familia yote ya wauaji na familia ya wahanga. Ule ni uchawi unaofanya kazi kwa connection.
 
Mwaka 2003 au na nne miaka hiyo nipo Tanga najitafuta alitokea mgambo mmoja anaitwa kitu kama Lameck hivi watakaokumbuka watanirekebisha yule bwana alikua anatumwa tumwa hivyo hivyo,

Kavunje vibanda vile ,kakamate machinga soko la mgandini, basi tabia yake akitumwa anafanya sifa na kufuru za kufa mtu akidai anafanya kazi ya serikali,

Kabla ya kifo chake akiwa na askari polisi waliongoza kusimamia bomoa bomoa sehemu moja inaitwa beach kwa bibi/magaoni kitu kama hiko,

Bwana yule alifanya kazi kuliko tinga akikuta kijumba teke ,anairukia kwa misifa ,raia mmoja sniper wa mtaani akachukua manati kwa mbaali kabisa akalenga jicho pale pale jamaa aliona giza jicho limepasuka,

Alipotoka hospitali ndio unyama ukamzidi siku hiyo alivamia genge la matunda na mama ntilie beba misosi na matunda ,

Yule mwenye matunda mgosi mmoja akamwambia wewe si serikali hurogeki ngoja naenda nyumbani majibu utayapata.

The rest is history jamaa alianza kuumwa ghafla ugonjwa hauonekani baada ya wiki mbili akaanza kuoza kitandani , kwa kifupi alikufa akiwa kashaoza wa kunuka kabisaaaa,

Wahalifu hao wanajipa moyo kwamba wao ni sehemu ya serikali lakini likija na kuja haliangalio serikali linaangalia mtu tu
Serikali ni wananchi.
Mgambo ni mtu binafsi sio serikali.
 
Haya mambo yangekuwa yanafanya kazi polisi wa nini kwenye hii dunia? Si tunavyunja vyungu tu wale tuma kwa namba hii wanaumuka makoromeo.
 
Back
Top Bottom