Hata kama na wao wameuawa. Chungu kitapiga familia zao.
Kule Usukumani kuna kitu kinaitwa Lutego, hiyo kitu ogopa mwamba. Inaua Wanafamilia ambao hawajahusika kwenye upuuzi wako,wanyama wa kufugwa waliopo, sisimizi na kunguni wote, mwisho kabisa ni Wewe mwenyewe mhusika. Yaani kitu inasafisha uovu wote Manina kabisa!