GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
CCM kupitia Mwenyekiti Magufuli, Katibu Mkuu Bashiru na Mwenezi Polepole Mimi mpaka hivi sasa nimeshajitahidi Kuongea na Mzee Mmoja kati ya Wanne ambao nawajua amekubali Kuilegeza hii Mvua kwa Kumuahidi kumpa Mbuzi baadae ila hawa Wazee wengine Watatu kiukweli siwawezi nisaidieni. Sitaki Kuwaweka hapa hadharani hawa Wazee ila najua Watu wa CCM Kawe wanawajua vyema kabisa tu.
Na ni Wazee ambao Kawe nzima wanasifika kwa ‘Ndumba’ ambapo kuna Mmoja wao kama akitoka Kuvua zake Samaki Baharini anawauza ndani ya dakika 30 tu wakati wenzake watawamaliza Kesho yake au Keshokuta na kuna mwingine Yeye akiamua Kawe Mvua inyeshe au isinyeshe inakuwa hivyo hivyo. Na kuna Mwingine akipanda Daladala badala ya Kondakta amdai Nauli Yeye Kondakta ndiyo anampa Pesa.
Kwakuwa Mimi ni Mjukuu Wao na huwa nashinda nao mara kwa mara katika Kijiwe chao Kikuu cha Kucheza ‘ Bao’ huwa Napata bahati ya ‘Kuwachokoza’ na hata ‘Kuwatania’ na nakumbuka asubuhi ya leo nilipowauliza kuwa ‘Ugeni’ wa Kesho Kawe wanaujua na wanaupokeaje haya ndiyo yalikuwa majibu yao..
“ Wewe GENTAMYCINE waambie hao Wenzako kuwa Kawe ina wenyewe na huwezi tu ukaja hapa kutaka kufanya Kazi zako za Kisiasa ili umsafishe Mpuuzi Mmoja aliyewatukana Waislamu na bado anaendelea tu Kutuonyesha Jeuri zake. Nasikia alienda kwa Kadinali Pengo ila mbona Kwetu hajaja? kwahiyo Pengo na Wakatoliki ndiyo wenye Kawe na Tanzania hii? Hii Mvua tutaongezea Spidi hadi wakome“
“ Tokea juzi tumeanza kuona kuna Maandalizi hapo Tanganyika Packers ila nakuambia kama hao CCM Wenzako huyo sijui Magufuli, Bashiru na Polepole hawaji kutuona Sisi Wazee wa Kimila Kawe basi watafute mahala pengine wa Mkutano wao kwani hii Mvua tukiwasamehe sana tutaisitisha Alhamisi Usiku na wakikutishia tu wanaweza wote kujikuta Wanaogelea zao tu Baharini Kawe“
“ Naona kuna Watu wametoka zao huko Vijijini Kufuga Ng’ombe zao wengine Kukata Michongoma na mwingine Kusahihisha tu Mitihani Chuoni hawajajua kuwa kwa Mkoa mzima wa Dar es Salaam Kawe ndiyo Makao Makuu ya Ndumba / Uchawi. Wakitaka tuiachie hii Mvua Kesho JPM asimsafishe huyo Mpuuzi na tupewe sababu kwanini Yule Binti kapigwa Pini wakati alikuwa akitupigania mno tu “
Mjumbe hauwawi na Mimi GENTAMYCINE nimeona nisikae Kimya na niwafikishieni wana CCM Wenzangu huu Ujumbe wao hawa Wazee wa Kawe.