Wazee wa Kimila: Kawe ina wenyewe na huivamii tu kwasababu zako za Kisiasa na hii Mvua hatuiachii mpaka Alhamisi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
CCM kupitia Mwenyekiti Magufuli, Katibu Mkuu Bashiru na Mwenezi Polepole Mimi mpaka hivi sasa nimeshajitahidi Kuongea na Mzee Mmoja kati ya Wanne ambao nawajua amekubali Kuilegeza hii Mvua kwa Kumuahidi kumpa Mbuzi baadae ila hawa Wazee wengine Watatu kiukweli siwawezi nisaidieni. Sitaki Kuwaweka hapa hadharani hawa Wazee ila najua Watu wa CCM Kawe wanawajua vyema kabisa tu.

Na ni Wazee ambao Kawe nzima wanasifika kwa ‘Ndumba’ ambapo kuna Mmoja wao kama akitoka Kuvua zake Samaki Baharini anawauza ndani ya dakika 30 tu wakati wenzake watawamaliza Kesho yake au Keshokuta na kuna mwingine Yeye akiamua Kawe Mvua inyeshe au isinyeshe inakuwa hivyo hivyo. Na kuna Mwingine akipanda Daladala badala ya Kondakta amdai Nauli Yeye Kondakta ndiyo anampa Pesa.

Kwakuwa Mimi ni Mjukuu Wao na huwa nashinda nao mara kwa mara katika Kijiwe chao Kikuu cha Kucheza ‘ Bao’ huwa Napata bahati ya ‘Kuwachokoza’ na hata ‘Kuwatania’ na nakumbuka asubuhi ya leo nilipowauliza kuwa ‘Ugeni’ wa Kesho Kawe wanaujua na wanaupokeaje haya ndiyo yalikuwa majibu yao..

Wewe GENTAMYCINE waambie hao Wenzako kuwa Kawe ina wenyewe na huwezi tu ukaja hapa kutaka kufanya Kazi zako za Kisiasa ili umsafishe Mpuuzi Mmoja aliyewatukana Waislamu na bado anaendelea tu Kutuonyesha Jeuri zake. Nasikia alienda kwa Kadinali Pengo ila mbona Kwetu hajaja? kwahiyo Pengo na Wakatoliki ndiyo wenye Kawe na Tanzania hii? Hii Mvua tutaongezea Spidi hadi wakome

Tokea juzi tumeanza kuona kuna Maandalizi hapo Tanganyika Packers ila nakuambia kama hao CCM Wenzako huyo sijui Magufuli, Bashiru na Polepole hawaji kutuona Sisi Wazee wa Kimila Kawe basi watafute mahala pengine wa Mkutano wao kwani hii Mvua tukiwasamehe sana tutaisitisha Alhamisi Usiku na wakikutishia tu wanaweza wote kujikuta Wanaogelea zao tu Baharini Kawe

Naona kuna Watu wametoka zao huko Vijijini Kufuga Ng’ombe zao wengine Kukata Michongoma na mwingine Kusahihisha tu Mitihani Chuoni hawajajua kuwa kwa Mkoa mzima wa Dar es Salaam Kawe ndiyo Makao Makuu ya Ndumba / Uchawi. Wakitaka tuiachie hii Mvua Kesho JPM asimsafishe huyo Mpuuzi na tupewe sababu kwanini Yule Binti kapigwa Pini wakati alikuwa akitupigania mno tu

Mjumbe hauwawi na Mimi GENTAMYCINE nimeona nisikae Kimya na niwafikishieni wana CCM Wenzangu huu Ujumbe wao hawa Wazee wa Kawe.
 
IMG_20201013_122604.jpg
 
Gentamycine
Hata mimi wa Bagamoyo tayari nilihisi kuna kitu wazee wanatuma ujumbe manake mambo haya huku kwetu Mlingotini Bagamoyo yapo sana tena hii ni rasharasha tu , wakijifanya wagumu na kushupaza shingo zao kuna ya zaidi yatakuja

Msiwe wajinga na wapumbavu kiasi hili jamani mnajiabisha!

Hii mvua iko dar nzima, kwa hiyo hao wachawi wa kawe ndio wameleta hii mvua sababu ya hiyo?

Mwaka jana mvua katika jiji la dar zilianza mwezi wa 9 na zikaunganisha na masika. Haya napo hao wachawi wenu wa kawe walikuwa wanatuma ujumbe gani kwa nani?..

Afrika tabu sana ndio maana Amsterdam anataka kuingoza nchi kwa kupitia Lisu.
 
mshana jr tunakuhitaji jukwaani uongezee tafsiri ya hamaki iliyowafanya wazee wa kimila watuletee ujumbe huu kupitia mazingara kipindi hiki na wakati mgombea mzito kabisa wa chama kongwe akiwa jijini ktk kampeni.
 
Mpuuzi kama huyu,anajinadi nae ana akili alafu mjuaji,kumbe fala tu.

Mvua ikinyesha ndio Halima atashinda? Ameenda kwa Pengo huko kwa wazee wa kiislamu hajaenda?

Au unadhani kete ya udini itawabeba?
 
CCM kupitia Mwenyekiti Magufuli, Katibu Mkuu Bashiru na Mwenezi Polepole Mimi mpaka hivi sasa nimeshajitahidi Kuongea na Mzee Mmoja kati ya Wanne ambao nawajua amekubali Kuilegeza hii Mvua kwa Kumuahidi kumpa Mbuzi baadae ila hawa Wazee wengine Watatu kiukweli siwawezi nisaidieni. Sitaki Kuwaweka hapa hadharani hawa Wazee ila najua Watu wa CCM Kawe wanawajua vyema kabisa tu.

Na ni Wazee ambao Kawe nzima wanasifika kwa ‘Ndumba’ ambapo kuna Mmoja wao kama akitoka Kuvua zake Samaki Baharini anawauza ndani ya dakika 30 tu wakati wenzake watawamaliza Kesho yake au Keshokuta na kuna mwingine Yeye akiamua Kawe Mvua inyeshe au isinyeshe inakuwa hivyo hivyo. Na kuna Mwingine akipanda Daladala badala ya Kondakta amdai Nauli Yeye Kondakta ndiyo anampa Pesa.

Kwakuwa Mimi ni Mjukuu Wao na huwa nashinda nao mara kwa mara katika Kijiwe chao Kikuu cha Kucheza ‘ Bao’ huwa Napata bahati ya ‘Kuwachokoza’ na hata ‘Kuwatania’ na nakumbuka asubuhi ya leo nilipowauliza kuwa ‘Ugeni’ wa Kesho Kawe wanaujua na wanaupokeaje haya ndiyo yalikuwa majibu yao..

Wewe GENTAMYCINE waambie hao Wenzako kuwa Kawe ina wenyewe na huwezi tu ukaja hapa kutaka kufanya Kazi zako za Kisiasa ili umsafishe Mpuuzi Mmoja aliyewatukana Waislamu na bado anaendelea tu Kutuonyesha Jeuri zake. Nasikia alienda kwa Kadinali Pengo ila mbona Kwetu hajaja? kwahiyo Pengo na Wakatoliki ndiyo wenye Kawe na Tanzania hii? Hii Mvua tutaongezea Spidi hadi wakome

Tokea juzi tumeanza kuona kuna Maandalizi hapo Tanganyika Packers ila nakuambia kama hao CCM Wenzako huyo sijui Magufuli, Bashiru na Polepole hawaji kutuona Sisi Wazee wa Kimila Kawe basi watafute mahala pengine wa Mkutano wao kwani hii Mvua tukiwasamehe sana tutaisitisha Alhamisi Usiku na wakikutishia tu wanaweza wote kujikuta Wanaogelea zao tu Baharini Kawe

Naona kuna Watu wametoka zao huko Vijijini Kufuga Ng’ombe zao wengine Kukata Michongoma na mwingine Kusahihisha tu Mitihani Chuoni hawajajua kuwa kwa Mkoa mzima wa Dar es Salaam Kawe ndiyo Makao Makuu ya Ndumba / Uchawi. Wakitaka tuiachie hii Mvua Kesho JPM asimsafishe huyo Mpuuzi na tupewe sababu kwanini Yule Binti kapigwa Pini wakati alikuwa akitupigania mno tu

Mjumbe hauwawi na Mimi GENTAMYCINE nimeona nisikae Kimya na niwafikishieni wana CCM Wenzangu huu Ujumbe wao hawa Wazee wa Kawe.
Unaongea ujinga wa kusifu ushirikina na washirikina.
Watu wenyewe unaowasifia hawana mbele wala nyuma maana kama ndumba zinawatumikia basi si wangepiga miluzi tu na pesa za benki zinapiga foleni chumbani badala ya kwenda kuvua?
Na huo usafiri wa daladala ati anapewa pesa badala ya kutoa nauli!

Very stupid and low thinking in the sense of personal achievement.
ujinga huo waambie wenzio wasioenda shule, kwani kwao kila kitu ni miujiza.

Na kama mmemzindika Halima kwa huo ushirikina basi msubiri mluzi wake.
 
Hahahaha, nadhani aje tu kufuuta huu Uzi
 
Back
Top Bottom