Wazee wa Kinyakyusa kufanya kikao cha dharura

Wazee wa Kinyakyusa kufanya kikao cha dharura

Kyakashombo

Senior Member
Joined
Oct 13, 2018
Posts
151
Reaction score
232
Inadaiwa kuwa Wazee wa kinyakyusa mkoani Mbeya watakutana katika kikao cha dharura kule Busokelo baada ya kusikia kijana wao anatishwa kuuawa.

Wakili Boniface Mwabukusi a.k.a Mayweather ni miongoni mwa watu wanaotishwa maisha kuhusu sakata la bandari. Wazee wanasema wao watadili na mwenye mbwa.

20230707_085438.jpg


Pia soma
: Dkt. Rugemeleza Nshala: Nimetishiwa maisha baada ya kutoa maoni kuhusu mkataba wa Bandari na DP World
 
Kwa nini kutishana?Kwani wameshindwa kutumia hoja zenye kueleweka zioneshazo nia njema na thabiti kwa tija ya taifa?Kushindwa kuwashawishi watu wakuelewe ni kufeli kiuongozi.To hell with intimidations!Down with pumpkin-headed leaders!Hoooooooray to Mwabukusi!🙏
 
Hivi kikao cha wazee kwa Jasusi Mbobezi kiliishia nini?
Wazee wa kisasa nao wanatafuta kiki, wazee huwa hawaongei sana ila matikeo ndio huongea
 
Wazalendo wanatishiwa maisha .....kwani wajibu Hoja kwa Hoja? Nguvu kutishana kwa nini ? Kuna nini hapo au kweli wameuza mikataba yenye uhaini?
 
Tulia ni mwanasheria uchwara kweli hafai kurudi bungeni amejiaibisha sana yeye pamoja na tasnia nzima ya sheria sasa mkataba gani ule yani hata kama mtu hujasoma na hujui sheria unajikuta unaelewa huu ni wizi
 
Back
Top Bottom