Amesoma kweli kweli and can make sense out of rubbish.....wewe Je? Andika sentence hii Kwa Kiingereza: Kama ingelikuwa siyo ujio wa Nyerere tulikuwa tumeanza kukata tamaa ya kiwango Cha juu kupata uhuru wetuMwamabakusi auliwe ana nini Yule kanjanja? Kiki zingine Kwa kweli zinachekesha Sana!
Wewe unajua nini mwehu tu!Mwamabakusi auliwe ana nini Yule kanjanja? Kiki zingine Kwa kweli zinachekesha Sana!
Mungu wabariki WazeeInadaiwa kuwa Wazee wa kinyakyusa mkoani Mbeya watakutana katika kikao cha dharura kule Busokelo baada ya kusikia kijana wao anatishwa kuuawa.
Wakili Boniface Mwabukusi a.k.a Mayweather ni miongoni mwa watu wanaotishwa maisha kuhusu sakata la bandari. Wazee wanasema wao watadili na mwenye mbwa.
View attachment 2680723
Pia soma: Dkt. Rugemeleza Nshala: Nimetishiwa maisha baada ya kutoa maoni kuhusu mkataba wa Bandari na DP World
Sisi tunamzungumzia Mwambukusi ( Mayweather) huyo uliyemuandika wewe hatumjuiMwamabakusi auliwe ana nini Yule kanjanja? Kiki zingine Kwa kweli zinachekesha Sana!
sana tena sana. Namshaur na yeye awe na press kuongelea kutishwa.Mwabukusi jamaa nondo sana.
Hao familia yao nao wameelimika.Mwabukusi jamaa nondo sana.
Hivi Nyerere ndiyo aliwapa Uhuru!! Au naye alitembea na upepo Kama ilivyo kwa wasanii wa sasa bloodAmesoma kweli kweli and can make sense out of rubbish.....wewe Je? Andika sentence hii Kwa Kiingereza: Kama ingelikuwa siyo ujio wa Nyerere tulikuwa tumeanza kukata tamaa ya kiwango Cha juu kupata uhuru wetu
tafuta jibuHivi Nyerere ndiyo aliwapa Uhuru!! Au naye alitembea na upepo Kama ilivyo kwa wasanii wa sasa blood
Hilo fara ati nalo linajihesabu kuwa ni mwananchiMakenge mko wengi inchi hii
Ilisemwa hivyo hata kwa LissuMwamabakusi auliwe ana nini Yule kanjanja? Kiki zingine Kwa kweli zinachekesha Sana!
Wapuuzi nyie mama hawezi sikiliza kelele za wendawazimu lazima alete wawekezaji kuongeza ufanisiWewe unajua nini mwehu tu!
Sisi tunamzungumzia Mwambukusi ( Mayweather) huyo uliyemuandika wewe hatumjui
Na lissu tena katishwa kuuliwa?Ilisemwa hivyo hata kwa Lissu
KabisaHuwa yanaanza hivyohivyo!Mwishowe unaomba uongezewe kisosi cha ubwabwa msibani.