puker
JF-Expert Member
- Nov 22, 2018
- 1,001
- 2,010
Betting ni kitu kitu addiction ya ajabu sana. Kila siku tunachezea kichapo lakini Bado hatukomi.
Sasa Kuna Ile time, umeshachambua Games lkn Hali Iko pale pale, unaanza kwenda prediction zako😁, ukiamini pengine mambo yanaweza kuwa tofauti🍾... twende kazi ngoja nitoe zangu😋
Mm nilishawah chagus timu za wiki nzima zile za Magiant ambazo ushindi ni wa zaid ya 90% Yani unakuta yenyewe Ina Odds 1.08 mpinzani wake ana Odds 24, nikatengeneza mkeka wa mechi 50, nikaweka 10k ikaja 140k...lkn muhindi bila huruma mechi za mwisho zikachana🤣🤣
Nikasema sirudii kosa, sitaki tamaa labda kwakuwa nilikuwa natamaa...kwa kuwa zile zilizochana zilitoa droo, nikasema nitumie mfumo ule ule lkn zote niweke Draw/Win🤗 mwindi akasema hunijui wewe akachana mkeka, litim libovu lililopewa odds 19 likashinda goli 2 Moja penart🤣🤣🤣
Nikasema football pengine, Sina bahati nayo...nikaanza kupiga mchanganyiko.... basketball/Vollyaball na Football kwa wale Ma giant tu....huko ndio nilichapika hakuna mfano🤣🤣🤣
Najua...wanzangu niwengi sana wanaojaribugi mbinu tofauti kwenye kubashiri, karibuni tutiane moyo🙏