Ai huwa inaomba poo, ninapofanya kazo nayo. Ona jinsi inavyo lalama baada ya kuibana, kushindwa then nikaipa ufumbuzi, eti iko "frustrated" , ina "Mental Block" , nilicheka sana.
View attachment 3176931