Wazee wa kukimbia bill bar tukutane hapa kwa new tactics & teqniques

Umesahau, wakati analeta hiyo ya tano agiza pia mchemsho wa kuku na ndizi nne...
hahaaa unataka kufilisi kabisa ...aiseee mimi sio mnywaji wa bia likini ujinga sipendi ..kuna Siku nilikuwa safarini na elekea huko kusini na ndio ilikuwa safari yangu ya kwanza kuelekea huko ..basi Gari lilivyofika pale nangurukulu tukashuka kupata lunch ilikushuka tu nikakuta nyomi lakufamtu "" nikasema sasa ngoja nikumbushie " enzi za ujana wangu ..kijana wenu nikaaguza menu ya nguvu samaki wa maana kuku nusu na wali ..ule wali nikaupiga palepale ..nilivyomaliza nikatazama mazingira nikaona idara ya ulinzi iko doro ..nikakusanya samaki wangu na kuku ..yuleeeee mwendo wa kasi ya 4g .

angalizo ukitaka kufnya umafia kama huu shurti uwe na hela ..maana ukishtukiwa unaweza kujitetea kwa kuzuga kuwa ulisahau ...halafu nisione mtu yeyete aje kusema kuwa anadhambi ..kama mkisema kuwa mimi Nina dhambi ccm nao wawe na Nini sasa ??
 
Unaunga urafiki na fala yoyote hapo bar anaeshangaa shangaa!unaagizia unakunywa fasta na huyo fala unamuagizia safari moja!wakati anakunywa unainuka unatoka nje muhudumu atajua utarudi sababu ya yule mwenzio fala.unamueka bondi hapo
[emoji23][emoji28][emoji23] aseee
 
Anafaa sana kwa matumizi ya binadamu. Basi sikuwa na mzuka naye kipindi hicho nilikua nastress sana.

Kuna siku nimetoma mkoa to Dar nlikua na case fulani nimekuja kuisikiliza mimi ndio mtuhumiwa. Pale ubungo demu niliyekaa naye kwenye siti naye hana pa kwenda. Usiku saa 6....huyu sikwambii nilimfanya nini....lakini juwa tu nilikua nawaza case ya kesho yake. Stress tupu.
Wewe hongera kwa kucontrol mwili wako. Mimi kuna muda viungo vinajicontrol vyenyewe bila kushirikisha ubongo. Mtihani huo ningefeli
 
Raha ya starehe uigaramie.ndo maana jambazi anakwenda kupora na mtutu lakini akifika bar analipa bili yake bila purukushani
 
Msifanye hivyo ni jambo baya sana kufanya hii dhuluma... Hasara hapati mmiliki bali mhudumu maskini atakayekatwa mshahara wake wa sh elfu 70 kufidia deni
Mimi huwa nalipa sometimes na ziada.. Angalieni msichume nuksi bure
agiza bia mbili najua kuna siku tutaonana nitalipa
 
mnaofanya hayo mambo hata mitaa mnayokaa hamaaminiki sihitaji ushahidi popote
 
Nikiwa kama meneja wa Baa maarufu sana hapa mjini DSM, nimefurahi kuwa sehemu ya uzi huu.
Nimepitia comment zote sijaacha hata moja na naahidi nitawafikishia mabaamedi wote mbinu hizi
 
hahaaa unataka kufilisi kabisa ...aiseee mimi sio mnywaji wa bia likini ujinga sipendi ..kuna Siku nilikuwa safarini na elekea huko kusini na ndio ilikuwa safari yangu ya kwanza kuelekea huko ..basi Gari lilivyofika pale nangurukulu tukashuka kupata lunch ilikushuka tu nikakuta nyomi lakufamtu "" nikasema sasa ngoja nikumbushie " enzi za ujana wangu ..kijana wenu nikaaguza menu ya nguvu samaki wa maana kuku nusu na wali ..ule wali nikaupiga palepale ..nilivyomaliza nikatazama mazingira nikaona idara ya ulinzi iko doro ..nikakusanya samaki wangu na kuku ..yuleeeee mwendo wa kasi ya 4g .

angalizo ukitaka kufnya umafia kama huu shurti uwe na hela ..maana ukishtukiwa unaweza kujitetea kwa kuzuga kuwa ulisahau ...halafu nisione mtu yeyete aje kusema kuwa anadhambi ..kama mkisema kuwa mimi Nina dhambi ccm nao wawe na Nini sasa ??
Kama nakuona vile unavyojikusanyia...hahaa!
Ccm ni majambazi na mashtani!
 
hahaaaa mkuu hayo Maputo ya ujana siwajua vile wanasemaga nimaji ya moto

ccm hawafai kabisa .""ccm hawafai kabisa kila napofikiriaga matendo yao huwa najihisi kuwa sina dhambi
 
Kulikuwa na kaka fulani hivi (RIP Luambano) alikuwa ana tabia, akiingia baa, akiwakuta mnakunywa na yeye anakaa halafu anaagiza bia, kila mhudumu anapoletea kinywaji anawageukia wale aliokaa nao na kusema maneno haya " aisee asanteni sana maana nilikuwa na kiu vibaya sana" anafanya hivyo mara kwa mara halafu kinachofuata anaagiza bia akifika nusu anajifanya anakwenda nje kidogo kuongea na simu halafu anapotea jumla.

Shughuli sasa kwenye kulipa bili. Mhudumu analeta bili ambayo inadai na bia alizokunywa Luambano, wakikataa kulipa kuwa hizo haziwahusu, mhudumu analia kwa sauti "Sawa nyie mnidhulumu tu, si hata hapa wakati namletea alikuwa ana washukuru kabisa kuonesha ni nyie mmenunulia..."
 
Kwa uzoefu wangu kunywea kaunta ni rahisi sana kuacha imeo. Ukiwa na elfu tano unaelewa hatari. Unatoa ela una agiza 2. Moja yako moja ya kaunta ina baki buku au inaisha then unaanza mbili mbili tu na yeye anakunywa ukitosheka unamwambia akuwekee moja moja asifungue mpk utoke toi. Then cha mbele. Usifanye kama Huna ela ya ziada lkn
Hili angalizo hatari aiseeee
 
hahaaa unataka kufilisi kabisa ...aiseee mimi sio mnywaji wa bia likini ujinga sipendi ..kuna Siku nilikuwa safarini na elekea huko kusini na ndio ilikuwa safari yangu ya kwanza kuelekea huko ..basi Gari lilivyofika pale nangurukulu tukashuka kupata lunch ilikushuka tu nikakuta nyomi lakufamtu "" nikasema sasa ngoja nikumbushie " enzi za ujana wangu ..kijana wenu nikaaguza menu ya nguvu samaki wa maana kuku nusu na wali ..ule wali nikaupiga palepale ..nilivyomaliza nikatazama mazingira nikaona idara ya ulinzi iko doro ..nikakusanya samaki wangu na kuku ..yuleeeee mwendo wa kasi ya 4g .

angalizo ukitaka kufnya umafia kama huu shurti uwe na hela ..maana ukishtukiwa unaweza kujitetea kwa kuzuga kuwa ulisahau ...halafu nisione mtu yeyete aje kusema kuwa anadhambi ..kama mkisema kuwa mimi Nina dhambi ccm nao wawe na Nini sasa ??
Hahaha we nchenge siyo wa kawaida unausoma hadi ulinzi
 
Aisee, siwezagi kuzulumu hata mia under whatever circumstances.
 
Back
Top Bottom