hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
hahaaa unataka kufilisi kabisa ...aiseee mimi sio mnywaji wa bia likini ujinga sipendi ..kuna Siku nilikuwa safarini na elekea huko kusini na ndio ilikuwa safari yangu ya kwanza kuelekea huko ..basi Gari lilivyofika pale nangurukulu tukashuka kupata lunch ilikushuka tu nikakuta nyomi lakufamtu "" nikasema sasa ngoja nikumbushie " enzi za ujana wangu ..kijana wenu nikaaguza menu ya nguvu samaki wa maana kuku nusu na wali ..ule wali nikaupiga palepale ..nilivyomaliza nikatazama mazingira nikaona idara ya ulinzi iko doro ..nikakusanya samaki wangu na kuku ..yuleeeee mwendo wa kasi ya 4g .Umesahau, wakati analeta hiyo ya tano agiza pia mchemsho wa kuku na ndizi nne...
angalizo ukitaka kufnya umafia kama huu shurti uwe na hela ..maana ukishtukiwa unaweza kujitetea kwa kuzuga kuwa ulisahau ...halafu nisione mtu yeyete aje kusema kuwa anadhambi ..kama mkisema kuwa mimi Nina dhambi ccm nao wawe na Nini sasa ??